Hivi ninavyomfanyia mke wangu eti naitwa mume -----!!!!

kusaidiana ndio mtindo wa kisas ila ingekuwa enzi zetu anaenda kwao, au kwenu, au unatafuta msaiidizi au mtoto wa ndugu yeyote aje amsaidia bila kusaha lazima uitwe MUME -----!hizo ndio zetu watu wa long
 


thanks,comment yako imenitengenezea siku,naamin utapata wa ina hiyo .................
 
we chauvivu weweee....

 
Endelea kumpenda tu mkeo!..

Ila pia nasikia waliofanyiwa mambo huwa hawajijui wengi wanaopona huwa ndugu wanawabeba kwa nguvu kuwapeleka kwenye maombi!...
 
As long as wewe sio mkuria mkuu ukosawa kabisa.
 
CHAI CHUNGU ni ww kweli au? Wanaume Kama Ww DUNIA umebakia Mwenyewe mpk SALIO lote Kwa Bi.Mkubwa! Nahisi Hata Kumuona BIBI unapewa Kwa Masharti . Huo Ni UZEBEDAYO a.k.a UZOBA kama kweli unafanya hayo MAMBO badilika.
 
Mwishowe utapangiwa na siku ya kupewa niniliyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…