The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kila nikiona mambo yanavyoenda kwenye taifa letu chini ya ccm kuna kila dalili wafuasi wa ccm hawaoni shida yoyote ya katiba tuliyonayo yaani ni kama wameishaifikia nchi ya ahadi.
Ndipo hunijia maswali kwani aliporuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba rais wa awamu ya nne alisukumwa na dhamira gani!?
Je alikuwa anajibu presha za wanaharakati na wapinzani?
Ulikuwa ni utashi wake binafsi!?
Kulikuwa shinikizo ndani ya chama chake!?
Au ilikuwa changa la macho tu!! Yaani kutupoteza maboya!?
Najiuliza hivi kwa kuwa sioni hata mwanaccm mmoja aliyetayari kuona katiba ikifanyiwa mabadiliko.