The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Utashi wake binafsi na changa la macho pia ku mark time.Kila nikiona mambo yanavyoenda kwenye taifa letu chini ya ccm kuna kila dalili wafuasi wa ccm hawaoni shida yoyote ya katiba tuliyonayo yaani ni kama wameishaifikia nchi ya ahadi.
Ndipo hunijia maswali kwani aliporuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba rais wa awamu ya nne alisukumwa na dhamira gani!?
Je alikuwa anajibu presha za wanaharakati na wapinzani?
Ulikuwa ni utashi wake binafsi!?
Kulikuwa shinikizo ndani ya chama chake!?
Au ilikuwa changa la macho tu!! Yaani kutupoteza maboya!?
Najiuliza hivi kwa kuwa sioni hata mwanaccm mmoja aliyetayari kuona katiba ikifanyiwa mabadiliko.
Kwa hiyo aliratibu mchakato akaandaa na mchakato wa kuuvurugaRoho mbaya na ulafi wa kutotaka wanaomfuata ku enjoy kama yeye kimadaraka ila katikati akagundua katiba mpya inaweza kuja kumdhuru yeye mwenyewe hata ikiwa amestaafu, ikabidi abadili gear angani.
Ulikuwa ninutashi wake binafsi ili aache legacy. Hivyo hivyo kwa rais Samia naye alikuwa na dhamira ya kuacha legacy.Ulikuwa ni utashi wake binafsi!?
Angekuwa kweli anapenda katiba mpya angeanzisha mchakato huo 2007 katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Samia naye anataka kufanya hivyo hivyo.Kila nikiona mambo yanavyoenda kwenye taifa letu chini ya ccm kuna kila dalili wafuasi wa ccm hawaoni shida yoyote ya katiba tuliyonayo yaani ni kama wameishaifikia nchi ya ahadi.
Ndipo hunijia maswali kwani aliporuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba rais wa awamu ya nne alisukumwa na dhamira gani!?
Je alikuwa anajibu presha za wanaharakati na wapinzani?
Ulikuwa ni utashi wake binafsi!?
Kulikuwa shinikizo ndani ya chama chake!?
Au ilikuwa changa la macho tu!! Yaani kutupoteza maboya!?
Najiuliza hivi kwa kuwa sioni hata mwanaccm mmoja aliyetayari kuona katiba ikifanyiwa mabadiliko.
Sasa alisukumwa na nn hasaAngekuwa kweli anapenda katiba mpya angeanzisha mchakato huo 2007 katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Samia naye anataka kufanya hivyo hivyo.
HadaaSasa alisukumwa na nn hasa