Yani huyu binti dish lilishacheza kabisa na ana shida ya kisaikolojia kabisa ni kati ya watu wasio na afya ya akili hapo Clouds....Huyu vitu ambavyo huwa anaandika katika social media lazma utagundua sio mzima....
Amejikrimu karibia awe mzungu
Mkuu umenichekesha sana.....daaa mimi ni mpenzi sana wa kande aiseeeeMama yangu anavyopenda kupika makande mbona ningeaibika sana
Hana tofauti sana na faiza wa suguYani huyu binti dish lilishacheza kabisa na ana shida ya kisaikolojia kabisa ni kati ya watu wasio na afya ya akili hapo Clouds....
hahahahaha nimecheka sana Evelyn Salt....daaa huyo binti sio mzima kabisa....kwakweli GK amekomakuna siku kaandika anakereka kwenda ukweni afu akute wamepika maharage au cabbage, kipindi hicho alikua anatoka na GK ha ha ha sa sijui kwao GK ndo alikua anakuta hivo
Atakuwa anavaa pampas kwa sasa.ngoja nikutafutie namba yake ye anatangaza anauza tigo ila papuche ni nyongeza tu hahaha halafu ana msambwanda wa haja binti mrembo sijui ana matatizo gani kwakweli sura nzuri umbo zuri ila ndo vilee
Nakumbuka mtoto akilipewa jina refu, tukumbushane lile jina jamani.teh GK alimpaga mimba ya mapacha sijui waliishia wapi wale mapacha.... diva huwa namuona Kama faiza wa sugu akili zao
Nafikiri matatizo yake mengi yameanzia kwenye makuzi, huyu hakulelewa na wazazi wote wawili ndio maana ukimsikiliza sana unagundua kuna nut imelegea kichwani, ana uzungu mwingi sana na maisha ya kuiga.Yani huyu binti dish lilishacheza kabisa na ana shida ya kisaikolojia kabisa ni kati ya watu wasio na afya ya akili hapo Clouds....
ahahaha kwani ukiliwa taqor mtaro unakosa break?Atakuwa anavaa pampas kwa sasa.
Huyu manzi akili yake ipo hivyo hivyo toka nasoma nae shule ya msingi nashangaa watu wanapata nae tabuNafikiri matatizo yake mengi yameanzia kwenye makuzi, huyu hakulelewa na wazazi wote wawili ndio maana ukimsikiliza sana unagundua kuna nut imelegea kichwani, ana uzungu mwingi sana na maisha ya kuiga.
Mtoto yupi huyo?Nakumbuka mtoto akilipewa jina refu, tukumbushane lile jina jamani.
Wakati akiwa na kibendi cha GK mtoto alishapewa jina, something like princess Hailey montana kaihula if am not mistaken mkuu.Mtoto yupi huyo?
Okey, anajikubali kupita kiasi, angekuwa mzuri sijui ingekuwaje, all in all shida yake ni kuiga Western culture kupindukia.Huyu manzi akili yake ipo hivyo hivyo toka nasoma nae shule ya msingi nashangaa watu wanapata nae tabu
Nasikia hivyo mkuu.ahahaha kwani ukiliwa taqor mtaro unakosa break?
Ha ha ha ha ha dah hilo jina, wabongo tuna mambo nmecheka mie.Wakati akiwa na kibendi cha GK mtoto alishapewa jina, something like princess Hailey montana kaihula if am not mistaken mkuu.
kuna siku kaandika anakereka kwenda ukweni afu akute wamepika maharage au cabbage, kipindi hicho alikua anatoka na GK ha ha ha sa sijui kwao GK ndo alikua anakuta hivo