Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ipo option ya kutuma picha, nigee ubuyuNatmani PM ingekuwa inaruhusu pic nikurushie mydear
Nimecheka kwa sauti aiseeUnaweza kukuta anajishaua hivyo halaf mashine yake breki pu.mbu...nakumbuka kuna siku walitukanana na diamond kwny xxl
Unaweza kukuta anajishaua hivyo halaf mashine yake break pu,..mbu [emoji2] [emoji2]Hehehehe
Nini kimekuchekesha?!
HahahahahaUnaweza kukuta anajishaua hivyo halaf mashine yake break pu,..mbu [emoji2] [emoji2]
Pwachapwacha kitu majiii halaf alikua anaringa nahisi jamaa yako alijuta mana angejua wala asingesumbuka kumfuatilia wacha mimi nitunze yangu ili isijekuwa break pu..mbuHahahahaha
Ndio utunze mashine yako naww sio mapozii mengi halaf mtu anakuta mashine hamna kitu.
Nakumbuka kuna mshikaji wangu tulikuwa tunakaa room moja chuo alifukuzia demu mwaka siku kaja kula mzigo mm nmelala kitanda cha juu nasikia pwacha pwacha kama mtu anafua bwana...mtt mzuri mashine hovyo kbs
Demu alitusumbua yule asbh namuangalia natamani nimtukane.Pwachapwacha kitu majiii halaf alikua anaringa nahisi jamaa yako alijuta mana angejua wala asingesumbuka kumfuatilia wacha mimi nitunze yangu ili isijekuwa break pu..mbu
Kumbuka unapo mnyoonyeshea kidole mwenzio na vidole vyengine vinakugeukia wewe.Huyu vitu ambavyo huwa anaandika katika social media lazma utagundua sio mzima....
Amejikrimu karibia awe mzungu
Kwa kosa gani?Baba ake yuko rumande mwacheni badala ya kumliwaza mnamponda
Kwani hujui malinzi yuko rupango ufisadi tffKwa kosa gani?
karibu jukwaani member, this is celebrities forum ukizoea utaelewa.... Karibu ukae kwa mkeka sahani za ubuyu zajaKumbuka unapo mnyoonyeshea kidole mwenzio na vidole vyengine vinakugeukia wewe.
Sasa basi usimnange mwanamke mwenzio kwa kutaka Like' na comment huku JF.
Duuuuh hivi malinzi wa tff ndio babake diva!!!!!Kwani hujui malinzi yuko rupango ufisadi tff
Yah ndo babake hata jina lake ni loveness malinziDuuuuh hivi malinzi wa tff ndio babake diva!!!!!
Leo ndio najua