Hivi nini kinaendelea kwa huyu Diva Loveness love?

Hivi nini kinaendelea kwa huyu Diva Loveness love?

Teh financial status ya malinzi ikoje ha ha makes diva huwa "mi home sijazoea shida, home hivi, home vile" basi huwa nahisi katoka familia ya kishua
Kiukwel malinzi financial status yake iko juu sana wale malinzi wawili dionese malinzi na Jamal malinzi kiuchumi wako vizuri sana malinzi ni engineers anamiliki kampuni fulani jina limenitoka ni mfanyabiashara sio maskini hata kidogo hapa mjini WaPo kitambo sana hata ukisikiliza manyimbo ya band na said a uwa wanatajwa tajwa diva akikwambia wa kishua ni wa kishua kweli ao jamaa malinzi wana pesa chafu
 
Kiukwel malinzi financial status yake iko juu sana wale malinzi wawili dionese malinzi na Jamal malinzi kiuchumi wako vizuri sana malinzi ni engineers anamiliki kampuni fulani jina limenitoka ni mfanyabiashara sio maskini hata kidogo hapa mjini WaPo kitambo sana hata ukisikiliza manyimbo ya band na said a uwa wanatajwa tajwa diva akikwambia wa kishua ni wa kishua kweli ao jamaa malinzi wana pesa chafu
oooh okay kumbe halali yake kuchukia maharage na cabbage za ukweni 😀
 
oooh okay kumbe halali yake kuchukia maharage na cabbage za ukweni 😀
Ayo mashauzi ya kijinga tu kuna watu kibao wa kishua hawana hizo mbwembwe diva sidhani kama kakulia kwa malinzi make ni mtoto wa nje japo uwa Anamuacknowledge sana katika ishu zake nying thanks dad nyung
 
Hivi nini kinaendelea kwa huyu bi dada loveness love a.k.a deeva wa clouds, kwasababu lately amekuwa akipost Instagram ujumbe ambao katika hali ya kawaida unaweza kuhisi kuwa hayupo sawa kabisa kwenye akili yake.

Ila kulingana na maneno aliyopost katika account yake ya Instagram ninaweza kulinganisha na kaulu zinazotolewa na baadhi ya wasichana wa kaliba yake mfano ni Johari wa bongo movie, faiza wa sugu, uwoya, wolper, wema sepetu, na wengineo. Hawa wamekuwa wakitoa kauli ambazo zinaashiria kuwa maisha yao ya kuishi kwa kujiachia na kufanya fujo za mjini yanaelekea ukingoni.

Wametumia usichana wao kufanya maisha ya uhuru uliopitiliza ambao haukujali kuwa wao kama wengine waliokuwapo kabla ya wao kuzaliwa wanawajibika kwa matumizi ya muda wao hapa duniani.

Kauli za hawa wadada zimejawa na hofu, wasiwasi, kukata tamaa, majuto, na simanzi. Wakiwatazama wenzao kama wao ambao nao walikuwa katika hali ya usichana sema waliamua mapema sana na kuamua kutazamia kuwa ujana ni maji ya moto na hakuna marefu yasiyokuwa na ncha na wakaamua kutulia na maisha na hatimaye kupotea katika media na habari za skendo na sasa wanaishi maisha ya kawaida ya utulivu, basi hii huwapa maumivu sana.

Hapa nawazungumzia wasichana waliowahi kuwa maarufu kama Jackline ntuyabaliwe, nancy sumari, Faraja kota, irene kiwia, nagris mohamed na wengineo wengi, ambao hivi sasa wanafamilia zao na wanamaisha mazuri tu ya utulivu kitu mambacho hawa wengineo imekuwa ni shaka kukipata.

Leo hii wamebaki kujinasibu na kutoa kauli za kujipa moyo ila ni wazi kuwa wamekwama na wanamajuto mengi sana na wanapata ukichaa wa hiyari. Imagine leo deeva anaanza kutafuta mwanaume, wa kupata nae watoto na kuanza familia serious anampataje?!

Hii kitu iwe fundisho kwa watoto wa kike ambao huwa wanahisi maisha ni mzaha mzaha na michezo ya mahusiano na kufanya wanachotaka.

Mambo ya kujiita sijui "slay queens", " independent woman" halafu kuishi maigizo mwisho wa siku wenzako uliokuwa unafanya nao upumbavu kumbe walikuwa na ramani za maisha za kimya kimya. Unakwama unabakia kutoa toa makauli ya kijinga.......
18-32 mwanamke kama ukutengeneza kiwanda chako cha maisha.itabaki single mama,kivuruge,lambalamba.
wanawake umri huu 18-32 upenda sana vigezo na kuto taka maisha ya baadae kuna kuwaje.
uzuri nao ni moja ya sababu zinazo wadanganya sana dada zetu mpaka kuna kucha ndo wanakumbuka shuka.
 
Mkorogo umepanda kichwani atangulie tu.
Wanaojionaga warembo mjini wakifikia tu 35- above akili huwa zinawarudia na hapo ndio mabarua kwenye page zao huanza kutiririshwa na hakuna mwenye akili timamu au hata mbwa kuwasogelea mbaya zaidi awe ali invest kwenye uzuri na k yake [emoji23]
 
Hivi huyo ni diva yule mwenye sauti ya kuwarusha Roho vijana wa namtumbo,kasuru ,kibondo,sumbawanga ,masasi,

Mbona macho kama teja ngoja niwatag waha wa kigoma demu wao Diva anataka bwana sasa
Sauti mbona sio nzuri anaongea kama anamafua fulani hivi au ana vidonda puani
 
Huwa sopendi kumponda mtu kwa mambo aliyofanya ila huwa mwepesi kushauri na kushauriwa pale jambo la kujuta linapojitokeza. We're all passing on earth, We don't know how our destiny will be, but when somebody is regretting on her/his conduct meaning he/she needs a help n ready to change, to face the reality.
Kwa ujumbe wa Diva inaonekana something is really troubling her mpaka kuamua kuliweka wazi kwa njia anayoijua yeye mwenyewe... Tumpe pole na tuwe tayari kumshauri pale atakapokuwa tayari kupokea ushauri wa watu
We haujamjua vizuri huyu manzi. Hii ndio ile sampuli inakwenda kwa mood.

Yaani hata akipata nafasi ya kuwa katika uhusiano fresh kichaa chake kinarudi. Kwa kifupi inaonyesha ana too much insecurity katika kichwa chake zinaendelea. Na hiyo inablock kuwa positive about relationship.
 
Kumbuka unapo mnyoonyeshea kidole mwenzio na vidole vyengine vinakugeukia wewe.
Sasa basi usimnange mwanamke mwenzio kwa kutaka Like' na comment huku JF.
Si kweli kuna watu na watu. Kuna watu wamejigeuza vituko n therefore kuwaongelea si tatizo hata kidogo.
 
Uyu dada anapenda mambo makubwa anadhani anaweza kuwa kama wale ma superstar wa marekani lifestyle za kina Rihana zinawatamanisha sanaa mpaka wanasahau kuwa wamezaliwa Tanzania wanatakiwa waikubali hali yao ya utanzania na maisha ya Tanzania ,kuna siku nilimsikia anasema yeye awezi kuwa na boyfriend ambae ajui English nilimshangaaa aisee nikajiuliza uyu ni mzima kweli English ni lugha tuu lakini yeye anaichukulia English swagger,akaja akaniuzi kusema wanaume wengi chupi zao zinanuka na kipindi icho yupo na GK msanii wa bongo flavor
Halafu bila kujua kwamba alikuwa anamfedhehesha hata huyo aliyekuwa nae.
 
Kiukwel malinzi financial status yake iko juu sana wale malinzi wawili dionese malinzi na Jamal malinzi kiuchumi wako vizuri sana malinzi ni engineers anamiliki kampuni fulani jina limenitoka ni mfanyabiashara sio maskini hata kidogo hapa mjini WaPo kitambo sana hata ukisikiliza manyimbo ya band na said a uwa wanatajwa tajwa diva akikwambia wa kishua ni wa kishua kweli ao jamaa malinzi wana pesa chafu
Ukiona mtu amepata kidogo anakazana kujitapatapa na maneno ya kujivuna yaani too much arrogance, jua huyo mtu ana damunya umasikini na ana historia ya umasikini somewhere. Watu waliozaliwa kishua na wapo vizuri huwa hawana shobo wala kujitapa.
 
ngoja nikutafutie namba yake ye anatangaza anauza tigo ila papuche ni nyongeza tu hahaha halafu ana msambwanda wa haja binti mrembo sijui ana matatizo gani kwakweli sura nzuri umbo zuri ila ndo vilee
..anatumia jina gani
 
Eti nyumba ina ramani kama kanisa la gwajima
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Paa kama kanisa la T.A.G

Jf watu wanajua kuponda jamani
Kuna mmoja alisema eti inafanana na administration block[emoji23] [emoji23] jf sihami
 
hawa wasanii wa bongo wanauza roho zao kwa shetani kwa kubadirishana na umaarufu na pesa,so huwa wanapewa umaarufu na pesa kwa muda flani then mkataba ukiisha lazma shetani akusepeshe ukalipe vyakwake huko kuzimunyika!ilimtokea
1.Kanumba
2.Sajuki
3.Sharo milionea
4.Ngwea
5.Bikira wa kisukuma
......... ...../.'
 
Back
Top Bottom