Hivi nini kinaendelea kwa huyu Diva Loveness love?

Zile comments za mjengo zitamfanya ajiue huyu dada.
 
Teh financial status ya malinzi ikoje ha ha makes diva huwa "mi home sijazoea shida, home hivi, home vile" basi huwa nahisi katoka familia ya kishua
Kiukwel malinzi financial status yake iko juu sana wale malinzi wawili dionese malinzi na Jamal malinzi kiuchumi wako vizuri sana malinzi ni engineers anamiliki kampuni fulani jina limenitoka ni mfanyabiashara sio maskini hata kidogo hapa mjini WaPo kitambo sana hata ukisikiliza manyimbo ya band na said a uwa wanatajwa tajwa diva akikwambia wa kishua ni wa kishua kweli ao jamaa malinzi wana pesa chafu
 
oooh okay kumbe halali yake kuchukia maharage na cabbage za ukweni 😀
 
oooh okay kumbe halali yake kuchukia maharage na cabbage za ukweni 😀
Ayo mashauzi ya kijinga tu kuna watu kibao wa kishua hawana hizo mbwembwe diva sidhani kama kakulia kwa malinzi make ni mtoto wa nje japo uwa Anamuacknowledge sana katika ishu zake nying thanks dad nyung
 
18-32 mwanamke kama ukutengeneza kiwanda chako cha maisha.itabaki single mama,kivuruge,lambalamba.
wanawake umri huu 18-32 upenda sana vigezo na kuto taka maisha ya baadae kuna kuwaje.
uzuri nao ni moja ya sababu zinazo wadanganya sana dada zetu mpaka kuna kucha ndo wanakumbuka shuka.
 
Mkorogo umepanda kichwani atangulie tu.
Wanaojionaga warembo mjini wakifikia tu 35- above akili huwa zinawarudia na hapo ndio mabarua kwenye page zao huanza kutiririshwa na hakuna mwenye akili timamu au hata mbwa kuwasogelea mbaya zaidi awe ali invest kwenye uzuri na k yake [emoji23]
 
Hivi huyo ni diva yule mwenye sauti ya kuwarusha Roho vijana wa namtumbo,kasuru ,kibondo,sumbawanga ,masasi,

Mbona macho kama teja ngoja niwatag waha wa kigoma demu wao Diva anataka bwana sasa
Sauti mbona sio nzuri anaongea kama anamafua fulani hivi au ana vidonda puani
 
We haujamjua vizuri huyu manzi. Hii ndio ile sampuli inakwenda kwa mood.

Yaani hata akipata nafasi ya kuwa katika uhusiano fresh kichaa chake kinarudi. Kwa kifupi inaonyesha ana too much insecurity katika kichwa chake zinaendelea. Na hiyo inablock kuwa positive about relationship.
 
Kumbuka unapo mnyoonyeshea kidole mwenzio na vidole vyengine vinakugeukia wewe.
Sasa basi usimnange mwanamke mwenzio kwa kutaka Like' na comment huku JF.
Si kweli kuna watu na watu. Kuna watu wamejigeuza vituko n therefore kuwaongelea si tatizo hata kidogo.
 
Halafu bila kujua kwamba alikuwa anamfedhehesha hata huyo aliyekuwa nae.
 
Ukiona mtu amepata kidogo anakazana kujitapatapa na maneno ya kujivuna yaani too much arrogance, jua huyo mtu ana damunya umasikini na ana historia ya umasikini somewhere. Watu waliozaliwa kishua na wapo vizuri huwa hawana shobo wala kujitapa.
 
ngoja nikutafutie namba yake ye anatangaza anauza tigo ila papuche ni nyongeza tu hahaha halafu ana msambwanda wa haja binti mrembo sijui ana matatizo gani kwakweli sura nzuri umbo zuri ila ndo vilee
..anatumia jina gani
 
Eti nyumba ina ramani kama kanisa la gwajima
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Paa kama kanisa la T.A.G

Jf watu wanajua kuponda jamani
Kuna mmoja alisema eti inafanana na administration block[emoji23] [emoji23] jf sihami
 
uyu nilijuaga bonge la demu nilivyomuona tu nguvu ikaisha
 
hawa wasanii wa bongo wanauza roho zao kwa shetani kwa kubadirishana na umaarufu na pesa,so huwa wanapewa umaarufu na pesa kwa muda flani then mkataba ukiisha lazma shetani akusepeshe ukalipe vyakwake huko kuzimunyika!ilimtokea
1.Kanumba
2.Sajuki
3.Sharo milionea
4.Ngwea
5.Bikira wa kisukuma
......... ...../.'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…