HOJA Hivi nini kinaendelea? Mbona Masaki imekuwa kama "Construction Site"? Kulikoni kila sehemu inajengwa?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Wakuu, hivi karibuni nilikuwa huko Masaki

Naomba niwaadithie nilichokutana nacho huko

Tofauti na miaka 5 au 6 iliyopita, sasa ukitembea mitaa ya Masaki, kila kona unakutana na mitambo ya ujenzi, malori ya saruji na maghorofa marefu yanayochipukia kwa kasi ya ajabu.

photo_2026-10-12_12-42-54.jpg

Miaka sita iliyopita hali haikuwa hivi. Ujenzi ulikuwepo lakini haikuwa kwa 'speed' hii ya sasa

Yaani, kwa nilivyotembea, kwa hesabu ya haraka haraka niliona kuna majengo makubwa marefu kama 15, yakiwemo maghorofa ya makazi (apartments) na majengo ya kibiashara, yanayojengwa usiku na mchana. Kasi hii ya ujenzi sijawahi kuishuhudia.

photo_2026-10-12_12-42-50.jpg

Nimejiuliza maswali yafuatayo:

Pesa hizi zote zinatoka wapi kwa ghafla hivi? Ni mabadiliko gani makubwa ya kiuchumi yametokea nyuma ya pazia yaliyofanya mabilioni ya fedha yamwagike Masaki kwa 'spidi' hii ya hatari?

Je, ni mahitaji halisi ya soko la nyumba, au kuna kitu kingine kinachokusudiwa? Hivi kweli kuna ongezeko kubwa la wapangaji na wanunuzi wa kupindukia kiasi cha kuhalalisha mamia ya apartments mpya zinazoinuka kila mwezi?

photo_2026-10-12_12-42-58.jpg

Mabadiliko ya sheria za upangaji mji yalitathmini athari za muda mrefu? Mfumo wa miundombinu ya zamani kama vile barabara nyembamba, mifumo ya maji taka, na usambazaji wa umeme utaweza kweli kubeba mzigo huu mkubwa wa maghorofa yanayojengwa?

Je, hii ni “bubble” inayotaka kupasuka? Haya majengo yanayojengwa yatakuwa na wapangaji? Hofu yangu ni kwamba majengo hayo huenda yamejengwa kwa fedha za mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha. Vipi yakikamilika halafu wapangaji wakakosekana? Mikopo italipwaje?

Je, hatutapata anguko la kiuchumi kama lililotokea Marekani mwaka 2008?

Tujikumbushe yaliyotokea Angola

Baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kuisha mwaka 2002, watu wengi nchini Angola, waliwekeza kwenye ujenzi wa nyumba kutokana na mapato ya mafuta. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya REVIEW OF REAL ESTATE FINANCINGIN ANGOLA ya mwaka 2010 ambayo ilisafadhiliwa na USAID

Hata hivyo, bei za nyumba zilipanda sana na watu wengi walishindwa kuzinunua. Hali hiyo ilisababisha ujenzi na mauzo ya nyumba kupungua. Benki nazo zilisita kutoa mikopo ya nyumba kutokana na changamoto za sheria za ardhi na hofu ya kushuka kwa thamani ya fedha ya nchi hiyo.

photo_2026-10-12_12-42-44.jpg

Pia kutokana na ukosefu wa uwazi katika biashara ya majengo uliongeza hatari ya nyumba kutumiwa kuficha chanzo cha fedha haramu.
 
Masaki ni prime area, sasa watu hawawezi kufanya uwekezaji wa pesa nyingi nchi ikiwa na Rais kichaa hujui kesho akiamka atakuja na lipi.

Wakati wa Magufuli hata tajili wa kawaida Hans Pope malori yake aliyahamishia Zambia.

Wawekezi wanawekeza kwenye nchi ambayo kisiasa iko stable na inatabirika.
 
Wakuu, hivi karibuni nilikuwa huko Masaki

Naomba niwaadithie nilichokutana nacho huko

Tofauti na miaka 5 au 6 iliyopita sasa hivi ukitembea mitaa ya Masaki hivi sasa kila kona , unakutana na ya mitambo ya ujenzi, malori ya saruji, na maghorofa marefu yanayochipukia kwa kasi ya ajabu.

View attachment 3689079

Miaka sita tu iliyopita hali haikuwa hivi. Ujenzi ulikuwepo lakini haikuwa kwa 'speed' hii ya sasa

Yaani, kwa nilivyotembea, kwa hesabu ya haraka haraka niliona kuna majengo makubwa marefu kama 15, yakiwemo maghorofa ya makazi (apartments) na majengo ya kibiashara, yanayojengwa usiku na mchana. Kasi hii ya ujenzi sijawahi kuishuhudia.

View attachment 3689080

Nimejiuliza maswali yafuatayo

Pesa hizi zote zinatoka wapi kwa ghafla hivi? Ni mabadiliko gani makubwa ya kiuchumi yametokea nyuma ya pazia yaliyofanya mabilioni ya fedha yamwagike Masaki kwa spidi hii ya hatari?

Je, ni mahitaji halisi ya soko la nyumba, au kuna kitu kingine kinachokusudiwa? Hivi kweli kuna ongezeko kubwa la wapangaji na wanunuzi wa kupindukia kiasi cha kuhalalisha mamia ya apartments mpya zinazoinuka kila mwezi?

View attachment 3689078

Mabadiliko ya sheria za upangaji mji yalitathmini athari za muda mrefu? Mfumo wa miundombinu ya zamani kama vile barabara nyembamba, mifumo ya maji taka, na usambazaji wa umeme utaweza kweli kubeba mzigo huu mkubwa wa maghorofa yanayojengwa?

Je, hii ni “bubble” inayotaka kupasuka? Haya majengo yanayojengwa yatakuwa na wapangaji? Hofu yangu ni kwamba majengo hayo huenda yamejengwa kwa fedha za mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha. Vipi yakikamilika halafu wapangaji wakakosekana? Mikopo italipwaje?

Je, hatutapata anguko la kiuchumi kama lililotokea Marekani mwaka 2008?

Tujikumbushe yaliyotokea Angola

Baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kuisha mwaka 2002, watu wengi nchini Angola, waliwekeza kwenye ujenzi wa nyumba kutokana na mapato ya mafuta. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya REVIEW OF REAL ESTATE FINANCINGIN ANGOLA ya mwaka 2010 ambayo ilisafadhiliwa na USAID

Hata hivyo, bei za nyumba zilipanda sana na watu wengi walishindwa kuzinunua. Hali hiyo ilisababisha ujenzi na mauzo ya nyumba kupungua. Benki nazo zilisita kutoa mikopo ya nyumba kutokana na changamoto za sheria za ardhi na hofu ya kushuka kwa thamani ya fedha ya nchi hiyo.

View attachment 3689077

Pia kutokana na ukosefu wa uwazi katika biashara ya majengo uliongeza hatari ya nyumba kutumiwa kuficha chanzo cha fedha haramu.
Waliopea zawadi nyumba za serikali 2000 mpaka 2005 sasa ndio wanauza na kuingia JVC, MAsaki mpya ni Mbweni.
 
Mafisadi ya masjid yameshika nchi yana vuna mali za umma na kuuza nchi kwa waarabu na raia feki
 
Waliopea zawadi nyumba za serikali 2000 mpaka 2005 sasa ndio wanauza na kuingia JVC, MAsaki mpya ni Mbweni.
Mkapa na Magufuli wake, huwa sielewi mpaka leo Mkapa sijui aliwaza nini?

Ila familia ya kamishna wa Polisi Marehemu Mwansasu imekula kwa ile nyumba pale Didis Haile selasie road alishindwa kuilipia licha ya kuuzwa kwa bei ya kutupa akachukuwa nadhani Samuel Sitta sasa hivi kuna muwekezaji.
 
Wakuu, hivi karibuni nilikuwa huko Masaki

Naomba niwaadithie nilichokutana nacho huko

Tofauti na miaka 5 au 6 iliyopita sasa hivi ukitembea mitaa ya Masaki hivi sasa kila kona , unakutana na ya mitambo ya ujenzi, malori ya saruji, na maghorofa marefu yanayochipukia kwa kasi ya ajabu.

View attachment 3689079

Miaka sita tu iliyopita hali haikuwa hivi. Ujenzi ulikuwepo lakini haikuwa kwa 'speed' hii ya sasa

Yaani, kwa nilivyotembea, kwa hesabu ya haraka haraka niliona kuna majengo makubwa marefu kama 15, yakiwemo maghorofa ya makazi (apartments) na majengo ya kibiashara, yanayojengwa usiku na mchana. Kasi hii ya ujenzi sijawahi kuishuhudia.

View attachment 3689080

Nimejiuliza maswali yafuatayo

Pesa hizi zote zinatoka wapi kwa ghafla hivi? Ni mabadiliko gani makubwa ya kiuchumi yametokea nyuma ya pazia yaliyofanya mabilioni ya fedha yamwagike Masaki kwa spidi hii ya hatari?

Je, ni mahitaji halisi ya soko la nyumba, au kuna kitu kingine kinachokusudiwa? Hivi kweli kuna ongezeko kubwa la wapangaji na wanunuzi wa kupindukia kiasi cha kuhalalisha mamia ya apartments mpya zinazoinuka kila mwezi?

View attachment 3689078

Mabadiliko ya sheria za upangaji mji yalitathmini athari za muda mrefu? Mfumo wa miundombinu ya zamani kama vile barabara nyembamba, mifumo ya maji taka, na usambazaji wa umeme utaweza kweli kubeba mzigo huu mkubwa wa maghorofa yanayojengwa?

Je, hii ni “bubble” inayotaka kupasuka? Haya majengo yanayojengwa yatakuwa na wapangaji? Hofu yangu ni kwamba majengo hayo huenda yamejengwa kwa fedha za mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha. Vipi yakikamilika halafu wapangaji wakakosekana? Mikopo italipwaje?

Je, hatutapata anguko la kiuchumi kama lililotokea Marekani mwaka 2008?

Tujikumbushe yaliyotokea Angola

Baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kuisha mwaka 2002, watu wengi nchini Angola, waliwekeza kwenye ujenzi wa nyumba kutokana na mapato ya mafuta. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya REVIEW OF REAL ESTATE FINANCINGIN ANGOLA ya mwaka 2010 ambayo ilisafadhiliwa na USAID

Hata hivyo, bei za nyumba zilipanda sana na watu wengi walishindwa kuzinunua. Hali hiyo ilisababisha ujenzi na mauzo ya nyumba kupungua. Benki nazo zilisita kutoa mikopo ya nyumba kutokana na changamoto za sheria za ardhi na hofu ya kushuka kwa thamani ya fedha ya nchi hiyo.

View attachment 3689077

Pia kutokana na ukosefu wa uwazi katika biashara ya majengo uliongeza hatari ya nyumba kutumiwa kuficha chanzo cha fedha haramu.
Uchawa unalipa sana, Masanja alilitelekeza kanisa akaenda kupiga hela kwa mama, uchaguzi ulipoisha alipotea njia ya kwenda kanisani kwake.
 
Back
Top Bottom