tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
- Thread starter
- #21
Nchi imeuzwa
Naamini hivi, kuna kitu hakiko sawa
Nchi imeuzwa
Tukumbushane bei ya saruji ni 22,000 kwa mfuko mmoja
Maeneo ya Wilayani huko inauzwa hadi shilingi 26,000 kwa mfuko mmoja 🙌
Kwahiyo ukiona mtu anajenga kipindi hiki, ujue anazo za kutosha
China town
Bandari inatuingizia hela, tuna gesi kibao, BOT inauza dhahabu kwa tani. Hela ipo wacha watu wajenge mjini.
Masaki ni wapi na sisi wa huku Tunduru tuambieni vizuri tupajue...Wakuu, hivi karibuni nilikuwa huko Masaki
Naomba niwaadithie nilichokutana nacho huko
Tofauti na miaka 5 au 6 iliyopita sasa hivi ukitembea mitaa ya Masaki hivi sasa kila kona , unakutana na ya mitambo ya ujenzi, malori ya saruji, na maghorofa marefu yanayochipukia kwa kasi ya ajabu.
View attachment 3689079
Miaka sita tu iliyopita hali haikuwa hivi. Ujenzi ulikuwepo lakini haikuwa kwa 'speed' hii ya sasa
Yaani, kwa nilivyotembea, kwa hesabu ya haraka haraka niliona kuna majengo makubwa marefu kama 15, yakiwemo maghorofa ya makazi (apartments) na majengo ya kibiashara, yanayojengwa usiku na mchana. Kasi hii ya ujenzi sijawahi kuishuhudia.
View attachment 3689080
Nimejiuliza maswali yafuatayo
Pesa hizi zote zinatoka wapi kwa ghafla hivi? Ni mabadiliko gani makubwa ya kiuchumi yametokea nyuma ya pazia yaliyofanya mabilioni ya fedha yamwagike Masaki kwa spidi hii ya hatari?
Je, ni mahitaji halisi ya soko la nyumba, au kuna kitu kingine kinachokusudiwa? Hivi kweli kuna ongezeko kubwa la wapangaji na wanunuzi wa kupindukia kiasi cha kuhalalisha mamia ya apartments mpya zinazoinuka kila mwezi?
View attachment 3689078
Mabadiliko ya sheria za upangaji mji yalitathmini athari za muda mrefu? Mfumo wa miundombinu ya zamani kama vile barabara nyembamba, mifumo ya maji taka, na usambazaji wa umeme utaweza kweli kubeba mzigo huu mkubwa wa maghorofa yanayojengwa?
Je, hii ni “bubble” inayotaka kupasuka? Haya majengo yanayojengwa yatakuwa na wapangaji? Hofu yangu ni kwamba majengo hayo huenda yamejengwa kwa fedha za mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha. Vipi yakikamilika halafu wapangaji wakakosekana? Mikopo italipwaje?
Je, hatutapata anguko la kiuchumi kama lililotokea Marekani mwaka 2008?
Tujikumbushe yaliyotokea Angola
Baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kuisha mwaka 2002, watu wengi nchini Angola, waliwekeza kwenye ujenzi wa nyumba kutokana na mapato ya mafuta. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya REVIEW OF REAL ESTATE FINANCINGIN ANGOLA ya mwaka 2010 ambayo ilisafadhiliwa na USAID
Hata hivyo, bei za nyumba zilipanda sana na watu wengi walishindwa kuzinunua. Hali hiyo ilisababisha ujenzi na mauzo ya nyumba kupungua. Benki nazo zilisita kutoa mikopo ya nyumba kutokana na changamoto za sheria za ardhi na hofu ya kushuka kwa thamani ya fedha ya nchi hiyo.
View attachment 3689077
Pia kutokana na ukosefu wa uwazi katika biashara ya majengo uliongeza hatari ya nyumba kutumiwa kuficha chanzo cha fedha haramu.
Sasa hivi hii nchi yetu kisiasa ipo stable na inatabirika?Masaki ni prime, sasa watu hawawezi kufanya uwekezaji wa pesa nyingi nchi ikiwa na Rais kichaa hujui kesho akiamka atakuja na lipi.
Wakati wa Magufuli hata tajili wa kawaida Hans Pope malori yake aliyahamishia Zambia.
Wawekezi wanawekeza kwenye nchi ambayo kisiasa iko stable na inatabirika.
Waswahili wanasena FANYA YAKO, Waingereza wanasema MIND YOUR OWN BUSINESS na Wakongo DRC (akina Bandeko Nangai) wanasema KIPE YA YO.Wakuu, hivi karibuni nilikuwa huko Masaki
Naomba niwaadithie nilichokutana nacho huko
Tofauti na miaka 5 au 6 iliyopita sasa hivi ukitembea mitaa ya Masaki hivi sasa kila kona , unakutana na ya mitambo ya ujenzi, malori ya saruji, na maghorofa marefu yanayochipukia kwa kasi ya ajabu.
View attachment 3689079
Miaka sita tu iliyopita hali haikuwa hivi. Ujenzi ulikuwepo lakini haikuwa kwa 'speed' hii ya sasa
Yaani, kwa nilivyotembea, kwa hesabu ya haraka haraka niliona kuna majengo makubwa marefu kama 15, yakiwemo maghorofa ya makazi (apartments) na majengo ya kibiashara, yanayojengwa usiku na mchana. Kasi hii ya ujenzi sijawahi kuishuhudia.
View attachment 3689080
Nimejiuliza maswali yafuatayo
Pesa hizi zote zinatoka wapi kwa ghafla hivi? Ni mabadiliko gani makubwa ya kiuchumi yametokea nyuma ya pazia yaliyofanya mabilioni ya fedha yamwagike Masaki kwa spidi hii ya hatari?
Je, ni mahitaji halisi ya soko la nyumba, au kuna kitu kingine kinachokusudiwa? Hivi kweli kuna ongezeko kubwa la wapangaji na wanunuzi wa kupindukia kiasi cha kuhalalisha mamia ya apartments mpya zinazoinuka kila mwezi?
View attachment 3689078
Mabadiliko ya sheria za upangaji mji yalitathmini athari za muda mrefu? Mfumo wa miundombinu ya zamani kama vile barabara nyembamba, mifumo ya maji taka, na usambazaji wa umeme utaweza kweli kubeba mzigo huu mkubwa wa maghorofa yanayojengwa?
Je, hii ni “bubble” inayotaka kupasuka? Haya majengo yanayojengwa yatakuwa na wapangaji? Hofu yangu ni kwamba majengo hayo huenda yamejengwa kwa fedha za mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha. Vipi yakikamilika halafu wapangaji wakakosekana? Mikopo italipwaje?
Je, hatutapata anguko la kiuchumi kama lililotokea Marekani mwaka 2008?
Tujikumbushe yaliyotokea Angola
Baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kuisha mwaka 2002, watu wengi nchini Angola, waliwekeza kwenye ujenzi wa nyumba kutokana na mapato ya mafuta. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya REVIEW OF REAL ESTATE FINANCINGIN ANGOLA ya mwaka 2010 ambayo ilisafadhiliwa na USAID
Hata hivyo, bei za nyumba zilipanda sana na watu wengi walishindwa kuzinunua. Hali hiyo ilisababisha ujenzi na mauzo ya nyumba kupungua. Benki nazo zilisita kutoa mikopo ya nyumba kutokana na changamoto za sheria za ardhi na hofu ya kushuka kwa thamani ya fedha ya nchi hiyo.
View attachment 3689077
Pia kutokana na ukosefu wa uwazi katika biashara ya majengo uliongeza hatari ya nyumba kutumiwa kuficha chanzo cha fedha haramu.
Waswahili wanasena FANYA YAKO, Waingereza wanasema MIND YOUR OWN BUSINESS na Wakongo DRC (akina Bandeko Nangai) wanasema KIPE YA YO.
Ni DaslamMasaki ni wapi na sisi wa huku Tunduru tuambieni vizuri tupajue...
Masaki ni prime, sasa watu hawawezi kufanya uwekezaji wa pesa nyingi nchi ikiwa na Rais kichaa hujui kesho akiamka atakuja na lipi.
Wakati wa Magufuli hata tajili wa kawaida Hans Pope malori yake aliyahamishia Zambia.
Wawekezi wanawekeza kwenye nchi ambayo kisiasa iko stable na inatabirika.
Acha wivu! Watu wana hela awamu hii. Kama huamini muulize hata Sugu....Nchi imeuzwa
Let money talk..Wakuu, hivi karibuni nilikuwa huko Masaki
Naomba niwaadithie nilichokutana nacho huko
Tofauti na miaka 5 au 6 iliyopita sasa hivi ukitembea mitaa ya Masaki hivi sasa kila kona , unakutana na ya mitambo ya ujenzi, malori ya saruji, na maghorofa marefu yanayochipukia kwa kasi ya ajabu.
View attachment 3689079
Miaka sita tu iliyopita hali haikuwa hivi. Ujenzi ulikuwepo lakini haikuwa kwa 'speed' hii ya sasa
Yaani, kwa nilivyotembea, kwa hesabu ya haraka haraka niliona kuna majengo makubwa marefu kama 15, yakiwemo maghorofa ya makazi (apartments) na majengo ya kibiashara, yanayojengwa usiku na mchana. Kasi hii ya ujenzi sijawahi kuishuhudia.
View attachment 3689080
Nimejiuliza maswali yafuatayo
Pesa hizi zote zinatoka wapi kwa ghafla hivi? Ni mabadiliko gani makubwa ya kiuchumi yametokea nyuma ya pazia yaliyofanya mabilioni ya fedha yamwagike Masaki kwa spidi hii ya hatari?
Je, ni mahitaji halisi ya soko la nyumba, au kuna kitu kingine kinachokusudiwa? Hivi kweli kuna ongezeko kubwa la wapangaji na wanunuzi wa kupindukia kiasi cha kuhalalisha mamia ya apartments mpya zinazoinuka kila mwezi?
View attachment 3689078
Mabadiliko ya sheria za upangaji mji yalitathmini athari za muda mrefu? Mfumo wa miundombinu ya zamani kama vile barabara nyembamba, mifumo ya maji taka, na usambazaji wa umeme utaweza kweli kubeba mzigo huu mkubwa wa maghorofa yanayojengwa?
Je, hii ni “bubble” inayotaka kupasuka? Haya majengo yanayojengwa yatakuwa na wapangaji? Hofu yangu ni kwamba majengo hayo huenda yamejengwa kwa fedha za mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha. Vipi yakikamilika halafu wapangaji wakakosekana? Mikopo italipwaje?
Je, hatutapata anguko la kiuchumi kama lililotokea Marekani mwaka 2008?
Tujikumbushe yaliyotokea Angola
Baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kuisha mwaka 2002, watu wengi nchini Angola, waliwekeza kwenye ujenzi wa nyumba kutokana na mapato ya mafuta. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya REVIEW OF REAL ESTATE FINANCINGIN ANGOLA ya mwaka 2010 ambayo ilisafadhiliwa na USAID
Hata hivyo, bei za nyumba zilipanda sana na watu wengi walishindwa kuzinunua. Hali hiyo ilisababisha ujenzi na mauzo ya nyumba kupungua. Benki nazo zilisita kutoa mikopo ya nyumba kutokana na changamoto za sheria za ardhi na hofu ya kushuka kwa thamani ya fedha ya nchi hiyo.
View attachment 3689077
Pia kutokana na ukosefu wa uwazi katika biashara ya majengo uliongeza hatari ya nyumba kutumiwa kuficha chanzo cha fedha haramu.
Unakuta wajenzi wengi ni hao hao wanasiasa wetuInafikirisha
Bei ya smenti inapanda ila watu wanazidi kujenga
Sure, masaki imelala mno kwa sasa , vijana waliobaki kwenye urithi wameishia kula bata tu.Nilirudi likizo 2012 mdogo wangu akanipeleka kule Doubletree Hotel kuangalia walivyojenga.
Baadaye kidogo nikasikia mgogoro wanamwaga maji machafu baharini.
Sijakanyaga Bongo tena.
Na bado, mpaka useme!Mafisadi ya masjid yameshika nchi yana vuna mali za umma na kuuza nchi kwa waarabu na raia feki
Logical non sequitur fallacy.JPM alisema mtamkumbuka! Sasa tulieni sindano iwaingie taratibu
Ngorongoro! Bandari!Logical non sequitur fallacy.
JPM ndiye aliyeuza nyumba za serikali za Masaki na kuruhusu haya kutokea.
Tunamkumbuka kwa ufisadi aliofanya.