HOJA Hivi nini kinaendelea? Mbona Masaki imekuwa kama "Construction Site"? Kulikoni kila sehemu inajengwa?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Masaki ni wapi na sisi wa huku Tunduru tuambieni vizuri tupajue...
 
Sasa hivi hii nchi yetu kisiasa ipo stable na inatabirika?
 
Waswahili wanasena FANYA YAKO, Waingereza wanasema MIND YOUR OWN BUSINESS na Wakongo DRC (akina Bandeko Nangai) wanasema KIPE YA YO.
 

Nyongeza; Mtu mwenye akili timamu hasa mgeni hawezi wekeza katika nchi ambayo, mahakama yake inaweza pewa maelekezo kwenye mashauri ya kibiashara (Haipo huru).
 
Let money talk..
Usiturudishe enzi za lile shetani la Chato
 
JPM alisema mtamkumbuka! Sasa tulieni sindano iwaingie taratibu
Logical non sequitur fallacy.

JPM ndiye aliyeuza nyumba za serikali za Masaki na kuruhusu haya kutokea.

Tena mchakato ukitakiwa kuendeshwa na taasisi ya nyumba ya serikaki, yeye na Mkapa wakaupora.

JPM akamgawia mpaka hawara wake Kabula nyumba ya serikali.

Tunamkumbuka kwa ufisadi aliofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…