Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Kama hoja yako ni hiyo (ambayo ni ya kweli btw) basi huu uwekezaji sio wa watu ambao wanapesa halali kwakuwa hali ya kisiasa na kijamii haijakaa sawa bado so ndio maana hata Dangote kakimbia.Masaki ni prime area, sasa watu hawawezi kufanya uwekezaji wa pesa nyingi nchi ikiwa na Rais kichaa hujui kesho akiamka atakuja na lipi.
Wakati wa Magufuli hata tajili wa kawaida Hans Pope malori yake aliyahamishia Zambia.
Wawekezi wanawekeza kwenye nchi ambayo kisiasa iko stable na inatabirika.
Kiuwekezaji hakuna hali ya risk, utawala wa yule ibilisi yeye alikuwa anaamka na lake kichwani ndio hilohilo hana mshauri.Kama hoja yako ni hiyo (ambayo ni ya kweli btw) basi huu uwekezaji sio wa watu ambao wanapesa halali kwakuwa hali ya kisiasa na kijamii haijakaa sawa bado so ndio maana hata Dangote kakimbia.
Masaki Kodi sasa hivi Dola 1000+ za maduka na nyumba Kodi ipo juu kuliko Kkoo, je utaenda kkoo kulipia Bilioni 8 kiwanja ama utaenda masaki hela hio unapata Ghorofa tayari ama hata mawili?Wakuu, hivi karibuni nilikuwa huko Masaki
Naomba niwaadithie nilichokutana nacho huko
Tofauti na miaka 5 au 6 iliyopita sasa hivi ukitembea mitaa ya Masaki hivi sasa kila kona , unakutana na ya mitambo ya ujenzi, malori ya saruji, na maghorofa marefu yanayochipukia kwa kasi ya ajabu.
View attachment 3689079
Miaka sita tu iliyopita hali haikuwa hivi. Ujenzi ulikuwepo lakini haikuwa kwa 'speed' hii ya sasa
Yaani, kwa nilivyotembea, kwa hesabu ya haraka haraka niliona kuna majengo makubwa marefu kama 15, yakiwemo maghorofa ya makazi (apartments) na majengo ya kibiashara, yanayojengwa usiku na mchana. Kasi hii ya ujenzi sijawahi kuishuhudia.
View attachment 3689080
Nimejiuliza maswali yafuatayo
Pesa hizi zote zinatoka wapi kwa ghafla hivi? Ni mabadiliko gani makubwa ya kiuchumi yametokea nyuma ya pazia yaliyofanya mabilioni ya fedha yamwagike Masaki kwa spidi hii ya hatari?
Je, ni mahitaji halisi ya soko la nyumba, au kuna kitu kingine kinachokusudiwa? Hivi kweli kuna ongezeko kubwa la wapangaji na wanunuzi wa kupindukia kiasi cha kuhalalisha mamia ya apartments mpya zinazoinuka kila mwezi?
View attachment 3689078
Mabadiliko ya sheria za upangaji mji yalitathmini athari za muda mrefu? Mfumo wa miundombinu ya zamani kama vile barabara nyembamba, mifumo ya maji taka, na usambazaji wa umeme utaweza kweli kubeba mzigo huu mkubwa wa maghorofa yanayojengwa?
Je, hii ni βbubbleβ inayotaka kupasuka? Haya majengo yanayojengwa yatakuwa na wapangaji? Hofu yangu ni kwamba majengo hayo huenda yamejengwa kwa fedha za mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha. Vipi yakikamilika halafu wapangaji wakakosekana? Mikopo italipwaje?
Je, hatutapata anguko la kiuchumi kama lililotokea Marekani mwaka 2008?
Tujikumbushe yaliyotokea Angola
Baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kuisha mwaka 2002, watu wengi nchini Angola, waliwekeza kwenye ujenzi wa nyumba kutokana na mapato ya mafuta. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya REVIEW OF REAL ESTATE FINANCINGIN ANGOLA ya mwaka 2010 ambayo ilisafadhiliwa na USAID
Hata hivyo, bei za nyumba zilipanda sana na watu wengi walishindwa kuzinunua. Hali hiyo ilisababisha ujenzi na mauzo ya nyumba kupungua. Benki nazo zilisita kutoa mikopo ya nyumba kutokana na changamoto za sheria za ardhi na hofu ya kushuka kwa thamani ya fedha ya nchi hiyo.
View attachment 3689077
Pia kutokana na ukosefu wa uwazi katika biashara ya majengo uliongeza hatari ya nyumba kutumiwa kuficha chanzo cha fedha haramu.
Mzee Kapuya naye ameingia JV pale kwake,Mwanansansu waliuza pale nadhaniMkapa na Magufuli wake, huwa sielewi mpaka leo Mkapa sijui aliwaza nini?
Ila familia ya kamishna wa Polisi Marehemu Mwansasu imekula kwa ile nyumba pale Didis Haile selasie road alishindwa kuilipia licha ya kuuzwa kwa bei ya kutupa akachukuwa nadhani Samuel Sitta sasa hivi kuna muwekezaji.
Mkuu hata kama kipenda roho hula nyama mbichi ila sio kwa kubandika uongo huuKiuwekezaji hakuna hali ya risk, utawala wa yule ibilisi yeye alikuwa anaamka na lake kichwani ndio hilohilo hana mshauri.
Kwa siasa za Chadema na Ccm hizo wamalize wenyewe mezani, lakini kiuwekezaji hali iko shwari.
Ukisikia eti kuna goba unabaki hiiiiiiMasaki Mtaa wa Mwaya kuna kitu kinaitwa Garden 7 , ni balaa
Mitaa ya matajiri.Wakuu, hivi karibuni nilikuwa huko Masaki
Naomba niwaadithie nilichokutana nacho huko
Tofauti na miaka 5 au 6 iliyopita sasa hivi ukitembea mitaa ya Masaki hivi sasa kila kona , unakutana na ya mitambo ya ujenzi, malori ya saruji, na maghorofa marefu yanayochipukia kwa kasi ya ajabu.
View attachment 3689079
Miaka sita tu iliyopita hali haikuwa hivi. Ujenzi ulikuwepo lakini haikuwa kwa 'speed' hii ya sasa
Yaani, kwa nilivyotembea, kwa hesabu ya haraka haraka niliona kuna majengo makubwa marefu kama 15, yakiwemo maghorofa ya makazi (apartments) na majengo ya kibiashara, yanayojengwa usiku na mchana. Kasi hii ya ujenzi sijawahi kuishuhudia.
View attachment 3689080
Nimejiuliza maswali yafuatayo
Pesa hizi zote zinatoka wapi kwa ghafla hivi? Ni mabadiliko gani makubwa ya kiuchumi yametokea nyuma ya pazia yaliyofanya mabilioni ya fedha yamwagike Masaki kwa spidi hii ya hatari?
Je, ni mahitaji halisi ya soko la nyumba, au kuna kitu kingine kinachokusudiwa? Hivi kweli kuna ongezeko kubwa la wapangaji na wanunuzi wa kupindukia kiasi cha kuhalalisha mamia ya apartments mpya zinazoinuka kila mwezi?
View attachment 3689078
Mabadiliko ya sheria za upangaji mji yalitathmini athari za muda mrefu? Mfumo wa miundombinu ya zamani kama vile barabara nyembamba, mifumo ya maji taka, na usambazaji wa umeme utaweza kweli kubeba mzigo huu mkubwa wa maghorofa yanayojengwa?
Je, hii ni βbubbleβ inayotaka kupasuka? Haya majengo yanayojengwa yatakuwa na wapangaji? Hofu yangu ni kwamba majengo hayo huenda yamejengwa kwa fedha za mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha. Vipi yakikamilika halafu wapangaji wakakosekana? Mikopo italipwaje?
Je, hatutapata anguko la kiuchumi kama lililotokea Marekani mwaka 2008?
Tujikumbushe yaliyotokea Angola
Baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kuisha mwaka 2002, watu wengi nchini Angola, waliwekeza kwenye ujenzi wa nyumba kutokana na mapato ya mafuta. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya REVIEW OF REAL ESTATE FINANCINGIN ANGOLA ya mwaka 2010 ambayo ilisafadhiliwa na USAID
Hata hivyo, bei za nyumba zilipanda sana na watu wengi walishindwa kuzinunua. Hali hiyo ilisababisha ujenzi na mauzo ya nyumba kupungua. Benki nazo zilisita kutoa mikopo ya nyumba kutokana na changamoto za sheria za ardhi na hofu ya kushuka kwa thamani ya fedha ya nchi hiyo.
View attachment 3689077
Pia kutokana na ukosefu wa uwazi katika biashara ya majengo uliongeza hatari ya nyumba kutumiwa kuficha chanzo cha fedha haramu.
Deni la taifa kwa sasa ni trillion 200. ongezeko la zaidi ya trillion 100 kwa miaka hii mitano, mnafikiri hizo pesa zinaenda wapiKama hoja yako ni hiyo (ambayo ni ya kweli btw) basi huu uwekezaji sio wa watu ambao wanapesa halali kwakuwa hali ya kisiasa na kijamii haijakaa sawa bado so ndio maana hata Dangote kakimbia.
Lakini mwekezaji makini hasa asiefungamana na CCM bado risk ipo. Ukiwaona hao wanaowekeza ujue wana vinasaba vya ccmKiuwekezaji hakuna hali ya risk, utawala wa yule ibilisi yeye alikuwa anaamka na lake kichwani ndio hilohilo hana mshauri.
Kwa siasa za Chadema na Ccm hizo wamalize wenyewe mezani, lakini kiuwekezaji hali iko shwari.
Dah asee tunakamuliwa kishenzi yaniDeni la taifa kwa sasa ni trillion 200. ongezeko la zaidi ya trillion 100 kwa miaka hii mitano, mnafikiri hizo pesa zinaenda wapi
MakubwaUkisikia eti kuna goba unabaki hiiiiii
KheeWatajua wenyewe bana
πππUchawa unalipa sana, Masanja alilitelekeza kanisa akaenda kupiga hela kwa mama, uchaguzi ulipoisha alipotea njia ya kwenda kanisani kwake.