Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Kabisa. Na pia woga unaondoka. Mtu unakuwa tayari kuonyesha hisia zako.Unapokuwa umelewa unakuwa sio mnafki
Shiii nani kamwaga pombe yanguu naulizaaa jamanii kamwaga pombe yanguu naulizaaa jamanii kamwaga pombe yanguu naulizaaaNimekutana na scenarios tatu za namba hii kwenye mikoa tofauti.
Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka
Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu nikulia TU utasema Kuna msiba.
Ni Nini Huwa kinasababisha?
Wote aunt baaadhi?Nimekutana na scenarios tatu za namba hii kwenye mikoa tofauti.
Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka
Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu nikulia TU utasema Kuna msiba.
Ni Nini Huwa kinasababisha?
πππPombe tamu kiongozi πΉ
kaswida unaweza kupandisha majini bar.Nimekutana na scenarios tatu za namba hii kwenye mikoa tofauti.
Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka
Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu nikulia TU utasema Kuna msiba.
Ni Nini Huwa kinasababisha?
Nimekutana na scenarios tatu za namba hii kwenye mikoa tofauti.
Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka
Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu nikulia TU utasema Kuna msiba.
Ni Nini Huwa kinasababisha?
Sio woteMlevi mkweli
Mlevi Bora ule demu wake kuliko kumwaga pombe yake atakutoa rohoShiii nani kamwaga pombe yanguu naulizaaa jamanii kamwaga pombe yanguu naulizaaa jamanii kamwaga pombe yanguu naulizaaa
Me nshalewa nyaka nyaka nshalewa
Me nshalewa sijielewi nshalewa