Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Tuwe wakweli, chipsi yai imeshakumbana na conspirancy theories nyingi sana lakini hazijafanikiwa kuondoa umaarufu na kupendwa kwake, mara mayai feki, sijui mafuta ya transfoma lakini wapi, watu bado huwaambii kitu kuhusu chipsi yai iwe dar au mikoani.
Na ukienda huko mbagala ndani ndani au uswahilini wewe muhonge tu mtoto wa kizaramo chipsi yai na miguu ya kuku uone hayo mauno utakayopewa hapo
Tuambizane jamani, chipsi yai ina siri gani? Maana utamaduni huu sijaukuta nchi nyingine za afrika nilizobahatika kutembelea