Hivi nini kipo nyuma ya 'Chipsi yai' kutochuja na kupendwa miaka yote hii hapa nchini

Hivi nini kipo nyuma ya 'Chipsi yai' kutochuja na kupendwa miaka yote hii hapa nchini

True story: Mtoto wa kishua kabisa yani ila alinipa Tunda kwa Chipsi yai..

Hii kitu sijui ina nini na Mademu.. 🤔🤔
Mie nilidhan watoto wa uswahilini tu, kumbe hadi na wakishua.

Nlikua na demu zakheem pale enzi nasona, aisee siku nikinletea chipsi yai kakishiba tu utalijua jiji
 
Tuwe wakweli, chipsi yai imeshakumbana na conspirancy theories nyingi sana lakini hazijafanikiwa kuondoa umaarufu na kupendwa kwake, mara mayai feki, sijui mafuta ya transfoma lakini wapi, watu bado huwaambii kitu kuhusu chipsi yai iwe dar au mikoani.

Na ukienda huko mbagala ndani ndani au uswahilini wewe muhonge tu mtoto wa kizaramo chipsi yai na miguu ya kuku uone hayo mauno utakayopewa hapo

Tuambizane jamani, chipsi yai ina siri gani? Maana utamaduni huu sijaukuta nchi nyingine za afrika nilizobahatika kutembelea
Another Dar's man down, je Wahenga ambao hatujala chipsi tangu 2024 uanze tusemeje?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Nadhani ni ongezeko la Wana Ume wa dar, ambao hiyo kitu Wana ila Kama chakula

akati huku mkoani hiyo kitu ni mboga tuna ila na ugali kilo 1.
Katika hiyo misosi miwili, ni afadhali ya chips yai kuliko ugali kilo moja.
Wanga huifadhiwa kama mafuta, kwa hiyo kama wewe siyo mtu wa kuifanya kazi za kutumia nguvu, wanga ni sumu, hasa kwa nguvu za kiume.
 
Ndio, mfano makande kuna muda yalikua na kasi sana hadi kwa mama ntilie unayapata unless ww uwe mtoto wa juzi ndo hutonielewa
Tembea ujionee makande bado yanaliwa sana hapa Tanzania tatizo lenu hamtoki hapo Dar vijana mnashindana kula chips yai

Hakuna aina ya chakula ambacho kimepitwa na wakati tangu kianze kuliwa hapa duniani
 
Tembea ujionee makande bado yanaliwa sana hapa Tanzania tatizo lenu hamtoki hapo Dar

Hakuna aina ya chakula ambacho kimepitwa na wakati tangu kianze kuliwa hapa duniani
Kama hakiuzwi mahotelini basi kimepitwa na wakati
 
Kama hakiuzwi mahotelini basi kimepitwa na wakati
Ndio maana nasema tembea ujionee makande yanauzwa kwenye migahawa mingi sana hapa Tanzania labda Dar tu.

Kuna mikoa ukienda watu wanakula makande na chapati au maandazi migahawani mixer maparachichi

Mpaka siku utakapotoka hapo Kinondoni na kutembea ndio utanielewa
 
Daa! Miongoni mwa vyakula ambavyo sivipendelei kabisa. Kama nakumbuka vizuri mwaka huu nimekula hiki chakula kama mara mbili au ratu tu. Napo kwa dharura.
 
Back
Top Bottom