Hivi nini kipo nyuma ya 'Chipsi yai' kutochuja na kupendwa miaka yote hii hapa nchini

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Tuwe wakweli, chipsi yai imeshakumbana na conspirancy theories nyingi sana lakini hazijafanikiwa kuondoa umaarufu na kupendwa kwake, mara mayai feki, sijui mafuta ya transfoma lakini wapi, watu bado huwaambii kitu kuhusu chipsi yai iwe dar au mikoani.

Na ukienda huko mbagala ndani ndani au uswahilini wewe muhonge tu mtoto wa kizaramo chipsi yai na miguu ya kuku uone hayo mauno utakayopewa hapo

Tuambizane jamani, chipsi yai ina siri gani? Maana utamaduni huu sijaukuta nchi nyingine za afrika nilizobahatika kutembelea
 
Tena hii bonge la biashara hasa ukikamata maeneo ya chuo umetoboa.
Jama i mwenye eneo zuri lankuuza chips anitafute niwekeze
 
dear gambe ndiyo haijawahi kuchuja

na ndiyo inachangia hadi pato la taifa 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…