Hivi nini kipo nyuma ya 'Chipsi yai' kutochuja na kupendwa miaka yote hii hapa nchini

Maradhi ni biashara. Nakuhakikishia, ulaji unaozingatia kanuni za kiafya unahatarisha biashara na uchumi wa watu na nchi kwa ujumla.
 
Cocacola hio ni global brand huwezi linganisha na chipsi, ni kati ya kampuni chache sana (kama nyingine zipo) ambazo zime-survive WW1, WW2 na Great economic depression.

Chipsi haifanyiwi matangazo ila coca matangazo kibao
Chips ni global Mac Donald,KFC au Chicken Liken kwenye vyakula vyao wanategemea sana Chips.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…