Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Kukuru kakara"Hapa nilipo nimepatwa na kipanda uso, yaani moyo unachoma ile mbaya. Wivu sio wivu, maumivu sio maumivu, maake huyo binti nilikuwa namuelewa kupita maelezo"
π
Niliposoma tu hio aya nikajua either wewe bado ni dogo sanaa au mtu mzima unautoto mwingi.
Like ni namna gani unaweza ku-invest hisia zako zote kwa mtu ulietaka umhonge aftatu alafu utafune jagina yake, then anazingua alafu unalilia.
Grow up dude.
sawa, sasa ndo awe tayari kwa wakati huo alipotiwa mistari? kwa hiyo yake huwa inabaki safi wakati wote?Wadada wa aina hiyo ni wafanyabiashara.So hawawezi kufukuza wateja wenye hela
Bado hujayajua maumivu ya mapenzi mkuu, hivi unayajua mapenzi kweli? We bado hujakua"Hapa nilipo nimepatwa na kipanda uso, yaani moyo unachoma ile mbaya. Wivu sio wivu, maumivu sio maumivu, maake huyo binti nilikuwa namuelewa kupita maelezo"
π
Niliposoma tu hio aya nikajua either wewe bado ni dogo sanaa au mtu mzima unautoto mwingi.
Like ni namna gani unaweza ku-invest hisia zako zote kwa mtu ulietaka umhonge aftatu alafu utafune jagina yake, then anazingua alafu unalilia.
Grow up dude.
Udomo zege+ ubahili & wivu vinakusumbua
Kitendo cha yule binti kupangiliwa na kukubali papo hapo kinanishangaza, ilibidi aende nyumbani kwanza akajiandaeUnapendekeza mtu awe tayari baada ya muda gani?
Unakompliketisha sana maisha broKitendo cha yule binti kupangiliwa na kukubali papo hapo kinanishangaza, ilibidi aende nyumbani kwanza akajiandae
Na kwa upande wa mwanaume, sidhani kama zama hizi kuna mwanaume ambaye akishtukizwa pap! anaweza kulihandle tendo maake kemikali kwenye vyakula ni nyingi sana, bila alkasusi....
Classmate,Unapendekeza mtu awe tayari baada ya muda gani?
Hahaha, kila mtongozo anahesabu mapatoWadada wa aina hiyo ni wafanyabiashara.So hawawezi kufukuza wateja wenye hela
Kitendo cha yule binti kupangiliwa na kukubali papo hapo kinanishangaza, ilibidi aende nyumbani kwanza akajiandae
Na kwa upande wa mwanaume, sidhani kama zama hizi kuna mwanaume ambaye akishtukizwa pap! anaweza kulihandle tendo maake kemikali kwenye vyakula ni nyingi sana, bila alkasusi....
Yani mtu ana nyege aache kwenda kuzimaliza eti avute muda ili umpe heshima, bro kakuambia anataka mbooo au anataka heshima?!!!Classmate,
Mwanamke akiwa mrahisi namna hii. Na akawa hana story ya kutetea urahisi wake, hata ile ya kutunga mnayotuambiaga kuwa ulikuwa na stress maana umegundua mwanaume wako anakusaliti. Basi sisi Wanaume tunahisi unakubalia watu weng pia. Na kwasababu Ushakubali. Kuliwa utaliwa ila hakuna heshima yule mwanaume atakupa. Maana Atafikiria kama umemkubali yeye kiwepesi hivyo. hata ukiwa nae bado utalombana na wengine . Tena kirahisi.
Na hakuna fedheha Wanaume hatutak kama Mwanamke wetu alombane nje.
Kuhusu Muda gan. Atleast mkutane mara 2 tatu nje na kuongea mambo yenu. Na date ya nne au 5 ndio muende ndani.
Anyway. Mm bado old skuli. Nina amin kwenye Lunch, dinner date na drink za hapa na pale alaf ndio unipe tunda.
Sio nakutongoza leo alaf tmr unanitengenezea mazingira kuwa umenimic unaomba tuonane.
Najua tu utakuja umejiandaa, utanitega na tutalombana . Ila habar ndio inaishia hapo. Ni ujambazi tu.
Yani mtu ana nyege aache kwenda kuzimaliza eti avute muda ili umpe heshima, bro kakuambia anataka mbooo au anataka heshima?!!!
Na nyege mmejimilikisha? Alokuambia mwanamke hana ni nani huyu anyongwe.kuhusu Nyege hapa umeongelea huyo Mwanamke au mwanaume?
Wote tunajua Mwanaume nyege mkononi.
Ila huyo mwanamke anayekubali haraka naye nyege mkononi?.
Nikuambie tu. Hakuna mwanaume atakubali kukaa na mwanamke mwnye nyege mkononi.
Atakulomba na atakuacha. Na tuko kama pie. Tumefanana wote.
Wanaume wote ni mbwaaa watoto wa baba mmoja ππππ.
Utazunguuka kutafuta mwenye afadhali hautapata. Ila ukitulia na sisi tunatulia. Hata tukifanya ushenz tutakuheshim na hautojua.