Hivi ninyi mlio tayari kwa lolote wakati wowote mmetokea sayari gani?

Na nyege mmejimilikisha? Alokuambia mwanamke hana ni nani huyu anyongwe.

Hapo bold "we shenzi nini" 😂😂😂

Sijasema mwanamke hana Nyege.

Ila zake ni kama pasi. Inapata moto taratibu pale inapowashwa na kuchelewa kupoa moto pale inapozimwa .

Kwahiyo mapokeo ya nyege kwa Mwanamke ni taratibu.

Tofaut na Mwanaume. Kusoma mnara ni chap na kumaliza ni chap. Mwanaume nyege zinawaka haraka.

Na pia Mwanamke anaweza akaridhishwa na Mwanaume mmoja na asipate nyege za ajabu ajabu kutaman mwanaume mwingine Wakat mwanaume anaweza kutoka kulombana na mwanamke anayempenda sana. Na akaon mwanamke mwingne anayemvutia na akamtaman tena.

So hizi tofauti ndio hasa zinatutofautisha.
 
Hivi nani kakulisha haya matango pori kijana 😁
 
Vuta mshahara kabla ya siku ya mshahara kwa Salary Advance! Bofya NMB Mkononi *150*66# chagua 3 au NMB App chagua Salary Advance. #Tumekupata #TelezaKidijitali
Mkuu, naomba connection ya kufanya kazi benki, walau niwe nafagia kile chumba mnachotunzia dhahabu
 
Hii paragraph ya mwisho siko na ww😊😊😊😊.

Kwamba ukiitiwa tunda papo kwa papo utashindwa simamisha?. Thubutuuu.

Sema pia kama umemfuata na kumtongoza mwenyewe means umemkubali na kuridhika nae. Means una ashk na hisia nae. Maana huwez simamisha kila mwanamke ..kwahiyo ata akikupea siku hiyo hiyo gam unapiga fresh tu.
Duh! Lakini kwenye kikao cha mwisho si tulikubaliana kuwa hili ni janga la taifa, na tukaahidi kwenda nalo sambamba muda wote?

Kwa hiyo wakuu mlijitibia mnakokujua mkaniacha niwe natafuna vimizizi na alkasusi kwa wingi? Nyie sio wema☺️
 
Na nyege mmejimilikisha? Alokuambia mwanamke hana ni nani huyu anyongwe.

Hapo bold "we shenzi nini" 😂😂😂
Kama sina kumbukumbu nzuri, tulisema nyege za mwanamke ni mpaka ashikwe shikwe, inakuwa vipi mwanamke anyegeke kwa maneno matupu? ama amtazame mwanaume, papo hapo apate maluwani?
 
Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap! mshkaji ananiambia amepata imejensi, baada ya kumdodosa akasema amejaribu kumsoundisha mtoto, mtoto kaelewa, papo hapo akaomba na mzigo, mtoto katika kukuru kakara akajaa kwenye mfumo, jamaa anadai hakutegemea kama ingekuwa rahisi hivi

Hapa nilipo nimepatwa na kipanda uso, yaani moyo unachoma ile mbaya. Wivu sio wivu, maumivu sio maumivu, maake huyo binti nilikuwa namuelewa kupita maelezo, tayari nilikuwa nishamtongoza siku nne zilizopita, na hapa nilikuwa namsubiri ajilete nimhonge japo ka afu tatu, ili nije nichombeze chombeze, ikiwezekana nilimung'unye tunda lake kimasihara, maake hana historia mbaya ya kuigawa kama karanga

Tuache hayo:
a) Imekaa kaaje binti unalimwa swaga, muda huo huo unajaa kwenye mfumo? Yaani inakuwa muda wote iko safi, ishafyekwa majani, ina auto system ya kuondoa majasho etc.? Eti wanawake tupeni uzoefu. Mbona wengine huwa mnajiandaa zaidi ya nusu saa?

b) Bora kwa mwanamke, kumbe karne hii kuna wanaume ambao mko tayari muda wowote? 🤔 Nyie mmeponaje kwenye hili janga la taifa? Au mnatembea na vitenzi visaidizi mfukoni? Au ndo kila mtu ashinde zake i.e kila mtu ajikune anapoweza?

Nawasilisha
Wewe ni wa juzi

Miti ya ghafla ni kitu cha kawaida sana tangu enzi na enzi

Kaa na wazee wakupe story
 
Ilishanikuta hii alafu kilikua ni kitoto cha form 3. Inauma hiyo
 
Hahaha, kila muongozo anahesabu mapato

Na siku hizi watakwambia usitume kwenye simu niweke kwenye account ya CRDB

Mpaka mnashituka mwenzako anafungua Duka nyie mnalalamika Tu serikali uchumi haupandi
😂😂😂Aisee wameona fursa.
 
Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap! mshkaji ananiambia amepata imejensi, baada ya kumdodosa akasema amejaribu kumsoundisha mtoto, mtoto kaelewa, papo hapo akaomba na mzigo, mtoto katika kukuru kakara akajaa kwenye mfumo, jamaa anadai hakutegemea kama ingekuwa rahisi hivi

Hapa nilipo nimepatwa na kipanda uso, yaani moyo unachoma ile mbaya. Wivu sio wivu, maumivu sio maumivu, maake huyo binti nilikuwa namuelewa kupita maelezo, tayari nilikuwa nishamtongoza siku nne zilizopita, na hapa nilikuwa namsubiri ajilete nimhonge japo ka afu tatu, ili nije nichombeze chombeze, ikiwezekana nilimung'unye tunda lake kimasihara, maake hana historia mbaya ya kuigawa kama karanga

Tuache hayo:
a) Imekaa kaaje binti unalimwa swaga, muda huo huo unajaa kwenye mfumo? Yaani inakuwa muda wote iko safi, ishafyekwa majani, ina auto system ya kuondoa majasho etc.? Eti wanawake tupeni uzoefu. Mbona wengine huwa mnajiandaa zaidi ya nusu saa?

b) Bora kwa mwanamke, kumbe karne hii kuna wanaume ambao mko tayari muda wowote? 🤔 Nyie mmeponaje kwenye hili janga la taifa? Au mnatembea na vitenzi visaidizi mfukoni? Au ndo kila mtu ashinde zake i.e kila mtu ajikune anapoweza?

Nawasilisha
Mwanangu piga tuu nyeto kwa usalama wa afya ya mwili na akili
 
Back
Top Bottom