Hivi ninyi mlio tayari kwa lolote wakati wowote mmetokea sayari gani?

Na nyege mmejimilikisha? Alokuambia mwanamke hana ni nani huyu anyongwe.

Hapo bold "we shenzi nini" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sijasema mwanamke hana Nyege.

Ila zake ni kama pasi. Inapata moto taratibu pale inapowashwa na kuchelewa kupoa moto pale inapozimwa .

Kwahiyo mapokeo ya nyege kwa Mwanamke ni taratibu.

Tofaut na Mwanaume. Kusoma mnara ni chap na kumaliza ni chap. Mwanaume nyege zinawaka haraka.

Na pia Mwanamke anaweza akaridhishwa na Mwanaume mmoja na asipate nyege za ajabu ajabu kutaman mwanaume mwingine Wakat mwanaume anaweza kutoka kulombana na mwanamke anayempenda sana. Na akaon mwanamke mwingne anayemvutia na akamtaman tena.

So hizi tofauti ndio hasa zinatutofautisha.
 
Hivi nani kakulisha haya matango pori kijana 😁
 
Vuta mshahara kabla ya siku ya mshahara kwa Salary Advance! Bofya NMB Mkononi *150*66# chagua 3 au NMB App chagua Salary Advance. #Tumekupata #TelezaKidijitali
Mkuu, naomba connection ya kufanya kazi benki, walau niwe nafagia kile chumba mnachotunzia dhahabu
 
Duh! Lakini kwenye kikao cha mwisho si tulikubaliana kuwa hili ni janga la taifa, na tukaahidi kwenda nalo sambamba muda wote?

Kwa hiyo wakuu mlijitibia mnakokujua mkaniacha niwe natafuna vimizizi na alkasusi kwa wingi? Nyie sio wema☺️
 
Na nyege mmejimilikisha? Alokuambia mwanamke hana ni nani huyu anyongwe.

Hapo bold "we shenzi nini" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama sina kumbukumbu nzuri, tulisema nyege za mwanamke ni mpaka ashikwe shikwe, inakuwa vipi mwanamke anyegeke kwa maneno matupu? ama amtazame mwanaume, papo hapo apate maluwani?
 
Wewe ni wa juzi

Miti ya ghafla ni kitu cha kawaida sana tangu enzi na enzi

Kaa na wazee wakupe story
 
Ilishanikuta hii alafu kilikua ni kitoto cha form 3. Inauma hiyo
 
Hahaha, kila muongozo anahesabu mapato

Na siku hizi watakwambia usitume kwenye simu niweke kwenye account ya CRDB

Mpaka mnashituka mwenzako anafungua Duka nyie mnalalamika Tu serikali uchumi haupandi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aisee wameona fursa.
 
Mwanangu piga tuu nyeto kwa usalama wa afya ya mwili na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…