Si uviite hivyo hiyvo tu, kama vile komputa, TV, satelaiti n.k sio lazima kuwe n kiswahili chake cha moja kwa moja ila kama mtu atakuuliza projector ni nini unaweza tu ukamuelezea kazi ya projector na inafanyanje kazi bila hata kuwa na neno la Kiswahili la moja kwa moja, ndio lugha nyingi duniani wanvyofanya hasa kukiwa na maneno mapya!