hivi niviiteje kwa kiswahili?

hivi niviiteje kwa kiswahili?

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,109
Reaction score
1,171
waungwana tafadhali naomba nijue majina ya vifaa hivi kwa kiswahili
1. projector
2. solar panel
3. TV tuner
4. Allen key
5. UPS
6.sound card
 
Mhh sijui atakimoja kinaitwajwe kwa kiswahili,wacha tuwangoje wenye kiswahili
 
waungwana tafadhali naomba nijue majina ya vifaa hivi kwa kiswahili
1. projector
2. solar panel
3. TV tuner
4. Allen key
5. UPS
6.sound card
Si uviite hivyo hiyvo tu, kama vile komputa, TV, satelaiti n.k sio lazima kuwe n kiswahili chake cha moja kwa moja ila kama mtu atakuuliza projector ni nini unaweza tu ukamuelezea kazi ya projector na inafanyanje kazi bila hata kuwa na neno la Kiswahili la moja kwa moja, ndio lugha nyingi duniani wanvyofanya hasa kukiwa na maneno mapya!
 
Bakita watakuja na longo longo zao, ngoja tuwasubiri
 
waungwana tafadhali naomba nijue majina ya vifaa hivi kwa kiswahili
1. projector
2. solar panel
3. TV tuner
4. Allen key
5. UPS
6.sound card


1. Plojekta
2. Sola
3. Tivii tyuna
4. Aleni kii
5. Yupiesi
6. Saundi kadi...
 
Back
Top Bottom