Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uviite hivyo hiyvo tu, kama vile komputa, TV, satelaiti n.k sio lazima kuwe n kiswahili chake cha moja kwa moja ila kama mtu atakuuliza projector ni nini unaweza tu ukamuelezea kazi ya projector na inafanyanje kazi bila hata kuwa na neno la Kiswahili la moja kwa moja, ndio lugha nyingi duniani wanvyofanya hasa kukiwa na maneno mapya!waungwana tafadhali naomba nijue majina ya vifaa hivi kwa kiswahili
1. projector
2. solar panel
3. TV tuner
4. Allen key
5. UPS
6.sound card
waungwana tafadhali naomba nijue majina ya vifaa hivi kwa kiswahili
1. projector
2. solar panel
3. TV tuner
4. Allen key
5. UPS
6.sound card