Hivi 'No Reform no Election' inapigania na mgombea binafsi?

Ni kwa bahati mbaya sana wanaominya uwepo wa mgombea binafsi huwa hawajitokezi kujenga hoja huenda ipo.(kama ilivyo kwa hoja ya uraia pacha).
Tunajikuta mzani umelalia upande mmoja.
Ila ccm wanakuwa hatarin zaidi kwa ueeoo mgombea binafs kuliko cdm.
Sabab kubwa ni CDM wote ilionao ni wake kimwili na kiroho lakin ccm ina wanachama wake kabsa(wanufaika na mbumbumbu) pamoja na wanafiki.
 
Mawazo yangu
CCM wanakataa mgombea binafsi kwa sababu inakuwa vigumu kumdhibiti. Na hili ni zaidi kwa ngazi za chini za mitaa, vitongoji na vijiji ambako pia mgombea mgombea binafsi ana uwezekano zaidi wa kushinda.
 
Mawazo yangu
CCM wanakataa mgombea binafsi kwa sababu inakuwa vigumu kumdhibiti. Na hili ni zaidi kwa ngazi za chini za mitaa, vitongoji na vijiji ambako pia mgombea mgombea binafsi ana uwezekano zaidi wa kushinda.
Hadi ubunge, mgombea binafsi ana nafasi kubwa tu ya kushinda. Mfano jimbo la Iringa mjini uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Fredrick Mwakalebela alikuwa na upepo wa hatariii, CCM walipokata jina lake na kumteua kibabe Monica Mbega, wananchi walimwambia ahamie chama chochote kile wao watampa kura zao, akaogopa na kubaki CCM. Matokeo yake wapiga kura za hasira kumchagua Msigwa wa Chadema

Hata 2015, Lowassa angesimama kama mgombea binafsi kwenye urais alikuwa anatoboa. Huko Zenju ndio kabisaaa maalim angeshinda asubuhi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…