sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Daah! Mmeamua kuninyanyasa au?..hadi bht akubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah! Mmeamua kuninyanyasa au?..hadi bht akubali
Te teh teh teh...!Kwa kweli wewe Kongosho mimi lazima nicheke posti yako, i really love michango yako kwa kweli, you're something else bana.
Una kipaji cha uandishi? If so comic books tafadhali, una kipaji cha kuchekesha watu.
Dadito naona leo hubanduki kwenye hii kona.Nifikishie ujumbe basi...bado nasubiri nafasi kwenye maboksi
Tunaomba makofi, na festiledi wa rais wa wabeba maboksi amewasili rasmiHivi bht ni mkaka?
Dada---->DaditoHivi bht ni mkaka?
Lawyer acha kudanganya umma wa wana jf, rais kapiga suti la njano wewe wasema ya udongo?Tunaomba ukimya, rais atahuzuria muda si mrefu na suti lake rangi ya udongo
Kukunyanyapaa...Daah! Mmeamua kuninyanyasa au?..
alimaanisha dada yetuHivi bht ni mkaka?
inaonekana huna update, alivaa la njano mashabiki wa club ya simba wakamlembea mayai viza, amechenji na sasa ametinga la rangi ya udongo lina picha ya kiboksi kwenye kolaLawyer acha kudanganya umma wa wana jf, rais kapiga suti la njano wewe wasema ya udongo?
Tunaomba makofi, na festiledi wa rais wa wabeba maboksi amewasili rasmi
Lawyer acha kudanganya umma wa wana jf, rais kapiga suti la njano wewe wasema ya udongo?
Hivi bht ni mkaka?
Hahahaaa unanipoka Ngabu kweupe hivi, aisee sio rahisi hata kidogo!mama mama mama
mama huyo
mama mama huyo
vimbea vinanong'onezana
(gauni lake linampwaya
afu dah, kucha hata hajapaka rangi
ila nywele kasuka nzuri)
SL na bht acheni umbea
For real?pacha wangu....
Sorry huwa nasahau hata mimi kwamba wewe si mkaka, nadhani ni avatar.Hahahaaa unanipoka Ngabu kweupe hivi, aisee sio rahisi hata kidogo!
Mie umbea nimeacha zamani, labda bht.mama mama mama
mama huyo
mama mama huyo
vimbea vinanong'onezana
(gauni lake linampwaya
afu dah, kucha hata hajapaka rangi
ila nywele kasuka nzuri)
SL na bht acheni umbea
hehehe dah! kongosho banamama mama mama
mama huyo
mama mama huyo
vimbea vinanong'onezana
(gauni lake linampwaya
afu dah, kucha hata hajapaka rangi
ila nywele kasuka nzuri)
SL na bht acheni umbea
Ukiona nimepotea jf ujue nshaenda kujinyonga zangu!..niagie klorokwini wangu! Hivi nae ni msukuma?Kukunyanyapaa...
Maana umezidi jeuri vile tu nakupenda
Lol!Sasa nisipocheka nifanyeje?ha ha ha ha,
mambo ya kushinda wabeba lawama camp
lazima ukate nati kadhaa ili uendane nao
pamoja sana kama wapenda cheka.