Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

ha ha ha ha,
mambo ya kushinda wabeba lawama camp
lazima ukate nati kadhaa ili uendane nao

pamoja sana kama wapenda cheka.

Te teh teh teh...!Kwa kweli wewe Kongosho mimi lazima nicheke posti yako, i really love michango yako kwa kweli, you're something else bana.

Una kipaji cha uandishi? If so comic books tafadhali, una kipaji cha kuchekesha watu.
 
Lawyer acha kudanganya umma wa wana jf, rais kapiga suti la njano wewe wasema ya udongo?
inaonekana huna update, alivaa la njano mashabiki wa club ya simba wakamlembea mayai viza, amechenji na sasa ametinga la rangi ya udongo lina picha ya kiboksi kwenye kola
 
mama mama mama
mama huyo
mama mama huyo

vimbea vinanong'onezana
(gauni lake linampwaya
afu dah, kucha hata hajapaka rangi
ila nywele kasuka nzuri)
SL na bht acheni umbea

Tunaomba makofi, na festiledi wa rais wa wabeba maboksi amewasili rasmi
 
mama mama mama
mama huyo
mama mama huyo

vimbea vinanong'onezana
(gauni lake linampwaya
afu dah, kucha hata hajapaka rangi
ila nywele kasuka nzuri)
SL na bht acheni umbea
Hahahaaa unanipoka Ngabu kweupe hivi, aisee sio rahisi hata kidogo!
 
mama mama mama
mama huyo
mama mama huyo

vimbea vinanong'onezana
(gauni lake linampwaya
afu dah, kucha hata hajapaka rangi
ila nywele kasuka nzuri)
SL na bht acheni umbea
Mie umbea nimeacha zamani, labda bht.
 
mama mama mama
mama huyo
mama mama huyo

vimbea vinanong'onezana
(gauni lake linampwaya
afu dah, kucha hata hajapaka rangi
ila nywele kasuka nzuri)
SL na bht acheni umbea
hehehe dah! kongosho bana
 
ha ha ha ha,
mambo ya kushinda wabeba lawama camp
lazima ukate nati kadhaa ili uendane nao

pamoja sana kama wapenda cheka.
Lol!Sasa nisipocheka nifanyeje?

You gotta give me the reason to do something else.

Siyo kwamba hujawahi kuniudhi, no, ila most times posti zako sijui huwa unatoa wapi hayo maneno, nadhani ni kipaji tu.

Keep doing what you doing, huwezi kujuwa wewe ndo unatubakiza wengine humu lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…