Hahahaaaa duuh! Mistaken jinsia, anyway I love this kind of confusion. Inapunguzaga kero ndogo ndogo kabla hazijafika baraza la madiwani!Sorry huwa nasahau hata mimi kwamba wewe si mkaka, nadhani ni avatar.
Ukiona nimepotea jf ujue nshaenda kujinyonga zangu!..niagie klorokwini wangu! Hivi nae ni msukuma?
Ha ha ha!Colour blindness ni ugonjwa wa wanamme
usishangae sana loya kusema hivo
Hahahaaaa duuh! Mistaken jinsia, anyway I love this kind of confusion. Inapunguzaga kero ndogo ndogo kabla hazijafika baraza la madiwani!
Hao kwenye avatar, ukipasua moyo wangu wanatoka hao!
Dada---->Dadito
We, mie kufa siku za karibuni itakuwa ngumu asee!U better watch ur words...mwaka huu na JF sio mzuri...Niagieni mpka leo tareh 21 zishafika kama 4 hivi....
Heheheee, kwa kifupi ni muuza mkaa!Ukiona nimepotea jf ujue nshaenda kujinyonga zangu!..niagie klorokwini wangu! Hivi nae ni msukuma?
wee, ulikuwa wapi
nimeona aibu leo
nimepigwa tongozo 2 hadharani
nikaona noma
bora ungekuwepo
tungegawana
Mimi ni raisi wa wabeba maboksi. Sifanyi kazi ubalozini, siyo mwalimu wa shule ya kimataifa, na wala si mkuu wa idara ya lugha katika chuo chochote kile. Sina kabisa sifa za kuwa kwenye sehemu kama hizo.
Mimi ni mtu wa boksi tu, mwanzo mwisho, juu chini.[/QUOTE]
Classical self degrading techniques!!!!!!!!!!!!!!!!!! well done keep it up!!!!!!!!
We, mie kufa siku za karibuni itakuwa ngumu asee!
kama una dalili ya kufa karibuni nirejeshee mshiko wangu wa mahari kabisa.Ukiona nimepotea jf ujue nshaenda kujinyonga zangu!..niagie klorokwini wangu! Hivi nae ni msukuma?
Sijawahi ndo namtafuta MC zimpompapompa anifundishe umbea!Mie umbea nimeacha zamani, labda bht.
Mapumziko muhimu maana tongozo nazo zikizidi zinaboa. Sasa umekubali au umewatolea nje?
Hehehe! Nilijua tu nikikutisha lazima unambie nije! Kumbe kloro tapeli la mapenzi eeh? Eti kantumia PM vile wewe na kongosho mmegoma kunipeleka Ikungu yeye atanipeleka, eti wanatoka kijiji kimoja na rais wa nchi!Heheheee, kwa kifupi ni muuza mkaa!
Awe msukuma aringe!!?
Usijinyonge, kaoge vaa na sendeu zako njoo nyumbani haraka!
Kwa hichi kicheko utanifanya nilog out aisee...huwa kinanipa kizunguzungu...lol!kwi kwi kwi!
khaaaaa!Mapumziko muhimu maana tongozo nazo zikizidi zinaboa. Sasa umekubali au umewatolea nje?
Amen!!!Ha ha ha! kumbe ulikuwa unatishia ee?mr kifo huwaga hakopeshi.hadi posts anasoma.Tusijeanza kuquote hizo posts zako..enewei ashindwe na alegee na atepeteeee kabisaaaaaaaa.
Siyo kwamba hujawahi kuniudhi, no,
Sina kabisa hizo dalili hivyo shaka ondoa na mahari hairudishwi..kama una dalili ya kufa karibuni nirejeshee mshiko wangu wa mahari kabisa.
Some people. . .Classical self degrading techniques!!!!!!!!!!!!!!!!!! well done keep it up!!!!!!!!