Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Sorry huwa nasahau hata mimi kwamba wewe si mkaka, nadhani ni avatar.
Hahahaaaa duuh! Mistaken jinsia, anyway I love this kind of confusion. Inapunguzaga kero ndogo ndogo kabla hazijafika baraza la madiwani!
Hao kwenye avatar, ukipasua moyo wangu wanatoka hao!
 
Colour blindness ni ugonjwa wa wanamme
usishangae sana loya kusema hivo
Ha ha ha!
Kumbe unajuwa kuhusu relationship kati ya masculinity na color blindness?

Safi!

Kumbe klorokwini ni lawyer?
 
Hahahaaaa duuh! Mistaken jinsia, anyway I love this kind of confusion. Inapunguzaga kero ndogo ndogo kabla hazijafika baraza la madiwani!
Hao kwenye avatar, ukipasua moyo wangu wanatoka hao!

kwi kwi kwi!
 
  • Thanks
Reactions: bht
Ukiona nimepotea jf ujue nshaenda kujinyonga zangu!..niagie klorokwini wangu! Hivi nae ni msukuma?
Heheheee, kwa kifupi ni muuza mkaa!
Awe msukuma aringe!!?
Usijinyonge, kaoge vaa na sendeu zako njoo nyumbani haraka!
 
wee, ulikuwa wapi
nimeona aibu leo
nimepigwa tongozo 2 hadharani
nikaona noma
bora ungekuwepo
tungegawana

Mapumziko muhimu maana tongozo nazo zikizidi zinaboa. Sasa umekubali au umewatolea nje?
 
Mimi ni raisi wa wabeba maboksi. Sifanyi kazi ubalozini, siyo mwalimu wa shule ya kimataifa, na wala si mkuu wa idara ya lugha katika chuo chochote kile. Sina kabisa sifa za kuwa kwenye sehemu kama hizo.

Mimi ni mtu wa boksi tu, mwanzo mwisho, juu chini.[/QUOTE]

Classical self degrading techniques!!!!!!!!!!!!!!!!!! well done keep it up!!!!!!!!
 
We, mie kufa siku za karibuni itakuwa ngumu asee!

Ha ha ha! kumbe ulikuwa unatishia ee?mr kifo huwaga hakopeshi.hadi posts anasoma.Tusijeanza kuquote hizo posts zako..enewei ashindwe na alegee na atepeteeee kabisaaaaaaaa.
 
TB alinisaidia kwa mbali
japo kwa kuninyanyasa na twisheni ya inglish

kuna mmoja kama ananiingia moyoni
ila sijamjibu hadharani
ntaingia naye PM
Nilimuomba muda nitafakari

Mapumziko muhimu maana tongozo nazo zikizidi zinaboa. Sasa umekubali au umewatolea nje?
 
Heheheee, kwa kifupi ni muuza mkaa!
Awe msukuma aringe!!?
Usijinyonge, kaoge vaa na sendeu zako njoo nyumbani haraka!
Hehehe! Nilijua tu nikikutisha lazima unambie nije! Kumbe kloro tapeli la mapenzi eeh? Eti kantumia PM vile wewe na kongosho mmegoma kunipeleka Ikungu yeye atanipeleka, eti wanatoka kijiji kimoja na rais wa nchi!
 
Classical self degrading techniques!!!!!!!!!!!!!!!!!! well done keep it up!!!!!!!!
Some people. . .
What's degrading about making an honest living and being open about it?Would you have had a different opinion if he had said he was a professor?

Acha dharau za kijinga maana inaonekana hata hiyo term ya ubeba box ni mpya kwako.
 
Back
Top Bottom