Hivi nyie EFM hamuoni tatizo la kiufundi katika kipindi cha Ripoti ya Leo?

Hivi nyie EFM hamuoni tatizo la kiufundi katika kipindi cha Ripoti ya Leo?

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Mafundi mitambo hamuoni tatizo la kiufundi ktk kipindi hiki?

Sauti inagomagoma, kinachozungumzwa hakisikiki?

Msitupotezee muda wetu
 
Kwanza yule msimuliaji wao ameharibu kipindi, hakina mvuto. Anasimulia kwa tone ileile ya huzuni mwanzo mwisho.

Nashauri warudishe utaratibu wa zamani ambapo mhusika ndo alikuwa msimuliaji.

JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom