L Lady Mwali Senior Member Joined Nov 15, 2018 Posts 147 Reaction score 333 Sep 28, 2021 #1 Mafundi mitambo hamuoni tatizo la kiufundi ktk kipindi hiki? Sauti inagomagoma, kinachozungumzwa hakisikiki? Msitupotezee muda wetu
Mafundi mitambo hamuoni tatizo la kiufundi ktk kipindi hiki? Sauti inagomagoma, kinachozungumzwa hakisikiki? Msitupotezee muda wetu
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Sep 28, 2021 #2 Lady Mwali said: Mafundi mitambo hamuoni tatizo la kiufundi ktk kipindi hiki? Sauti inagomagoma ,kinachozungumzwa hakisikiki? Msitupotezee muda wetu Click to expand... Akufukuzaye hakwambii toka
Lady Mwali said: Mafundi mitambo hamuoni tatizo la kiufundi ktk kipindi hiki? Sauti inagomagoma ,kinachozungumzwa hakisikiki? Msitupotezee muda wetu Click to expand... Akufukuzaye hakwambii toka
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,352 Reaction score 5,055 Sep 28, 2021 #3 Kwanza yule msimuliaji wao ameharibu kipindi, hakina mvuto. Anasimulia kwa tone ileile ya huzuni mwanzo mwisho. Nashauri warudishe utaratibu wa zamani ambapo mhusika ndo alikuwa msimuliaji. JamiiForums mobile app
Kwanza yule msimuliaji wao ameharibu kipindi, hakina mvuto. Anasimulia kwa tone ileile ya huzuni mwanzo mwisho. Nashauri warudishe utaratibu wa zamani ambapo mhusika ndo alikuwa msimuliaji. JamiiForums mobile app