Hivi nyie mabinti mnaodate na wazee mko timamu kweli!?

Mzee anaitwa baby na kigoli wa 21+.
Mapenzi shida sana
 
Wote wanaodate na vibabu iwe me/ke kinachosababisha hivyo ni umaskini na uvivu wa kutafta hela, dada inaonyesha kwenu nyie maskini ndo maana uko willing hata kulala na babu ili upate hela. cute b
Kuzaliwa kwenye familia ya kimasikini sio kosa.. Kosa ni kufa masikini..upoooo?
 
Hivi vibabu kuhonga vitz au passo kwa ghafla sio kitu cha ajabu kwao ni kama sisi kumpa demu laki sasa kwanini wasiende huko? vijana wenzangu tutafuteni pesa tutaishia kulalamika tu.
 
Wanasema wazee wana mapenzi ya kweli
Wazee hawana speed za kitoto na kukojoa faster wanaenda taratibu maneno matam ya kiubabu na Kimmel za muda mrefu binti alisha fika na kuchika na wanatia bila masharti
 
Mmh pesa mbele kama tai chezea watoto wamjin
 
Vijana wengi mmekuwa wahanangwa, means mmepoteza uhalisia wa kuwa wanaume na badala yake mnapenda kuhudumiwa!!!
 
Kuzaliwa kwenye familia ya kimasikini sio kosa.. Kosa ni kufa masikini..upoooo?

Kuzaliwa kwenye familia maskini sio kosa, kosa ni kufa na ukimwi kisa laki 2 isiokufikisha popote..upoo? cute b
 

tafuta hela mkuu,acha wivu.nani alikwambia wazee hawatakiwi kufaidi?
 
Ngoja nisindikize post kwa picha[emoji116]


Note::Vijana tafuteni mtonyo mambo ya kujazia vifua kama roboti ni kujichosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…