RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Eti nyie wazazi mnajisikiaje yaani watoto wenu wamesoma kwa gharama kubwa, halafu huko maofisini walipoajiriwa wanazidiwa Mishahara na watoto wa ST KAYUMBA.
Hivi hamuumii kama watu waliochoma Chanjo ya corona, wakituona ambao hatujachanja tunaishi vizuri?.
Maana huku ofisini naona watu wamesoma Feza/St Francis, chuo Sweden na Netherland lakini mshahara nawazidi, wananionea wivu kinyama.
Endeleeni kupoteza ada wazazi, kama mwanao zimo zimo tu na darasani atawakimbiza haijalishi kasoma wapi..
Hebu mfano Muangalie Lissu/Kibatala halafu linganisha na wanasheria baadhi waliosoma private schools utaelewa maana ya kama zimo zimo tu.