Hivi nyie mliosoma EMS na Private schools, na huku maofisini tupo wote na tunawazidi mishahara mnajisikiaje, kuzidiwa na sisi wa St Kayumba?.

Hivi nyie mliosoma EMS na Private schools, na huku maofisini tupo wote na tunawazidi mishahara mnajisikiaje, kuzidiwa na sisi wa St Kayumba?.

Halafu naona kama kuna watu sijui ni ulimbukeni 😅😅😅
Unakuta yeye ndio mwenye Elimu kwa hiyo anaona kitu cha kutangaza kweli niliwahi kwenda Uchagani huko nikamkuta mbibi anasema anataka amtumie mjukuu wake hela alipie mitihani ya bodi ya uhasibu kwenye hiyo familia sahau kukuta hizi mambo unakuta watoto wamesoma harafu hawana mambo za kishamba..
 
Mkimaliza kutambiana Ems na kayumba , mtaanza kutambiana pia kati ya waliosoma vyuo vyenye ada kubwa na waliosoma vyuo vyenye ada ndogo.

Formal education ( be it from Ems or kayumba) will make you a living. Self-education will make you a fortune.

Sisi wa Self-education ambao tuna fortune tupo wachache duniani.
 
Eeehe matajiri wa JF wakunjue moyo ! Tupeni deal tushindwe ndo mtuseme hatuna akili !
Mimi sio Tajiri ni msaka nyoka tu kama wewe karibu Johannesburg,SA ila uje na mtaji hata kidogo ununue vitu urudi kuuza au utume huko Tanzania hapa vipo vitu vingi na bei ndogo kama China na vina ubora ni wewe utataka uuze nini nje ya SA..mimi nauchukia umasikini ukiniuliza chochote wakati wowote ntakujibu masikini mwenzangu...
 
Back
Top Bottom