RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Na bado kuna aliyesoma kayumba kamzidi wa international school kipato๐คฃ๐คฃ wote maskini mnatambiana tu hamna lolote ! Aliyesoma English Medium ni Kayumba iliyochangamka yenye huduma bora za kijamii tu ! wote mnasoma mtaala wa kijinga na kufanya mitihani ya NECTA na hamna impact yeyote
Aliyesoma international school huyo ndo anaweza kutamba hapa kwa kusoma mtaala wenye manufaa !!
International School of Tanganyika na wenzie kama hao !
Na bado kuna aliyesoma kayumba kamzidi wa international school kipato
Ukubwa wa kipato unategemea vigezo vingi, ambavyo kwa kiasi chake havifafanuliki
Mkuu maskini ndio wanaotusumbua humu na hii mada inayopinga EMsHivi vitu mbona kama havina mantiki hivi ๐ ๐ ๐ tuleteeni mada za namna ya kujikwamua kiuchumi.
Hivi vingine achieni watoto wabishane.
Una akili nyembambaEti nyie wazazi mnajisikiaje yaani watoto wenu wamesoma kwa gharama kubwa, halafu huko maofisini walipoajiriwa wanazidiwa Mishahara na watoto wa ST KAYUMBA.
Hivi hamuumii kama watu waliochoma Chanjo ya corona, wakituona ambao hatujachanja tunaishi vizuri?.
Maana huku ofisini naona watu wamesoma Feza/St Francis, chuo Sweden na Netherland lakini mshahara nawazidi, wananionea wivu kinyama.
Endeleeni kupoteza ada wazazi, kama mwanao zimo zimo tu na darasani atawakimbiza haijalishi kasoma wapi..
Hebu mfano Muangalie Lissu/Kibatala halafu linganisha na wanasheria baadhi waliosoma private schools utaelewa maana ya kama zimo zimo tu.
๐คฃ๐คฃ Humu watakupa story zote , watajisifu wanavyoweza , watatangaza umahiri wao, walivyo na wake na waume wazuri , show za kitandani wanavyoziweza , Gari zote nzuri wameendesha tena, walivyosafiri duniani ! Wakimaliza watakunanga kwanini huna hela , kwanini unaendesha boda boda ๐คฃHivi vitu mbona kama havina mantiki hivi ๐ ๐ ๐ tuleteeni mada za namna ya kujikwamua kiuchumi.
Hivi vingine achieni watoto wabishane.
Sioni umuhimu wake mimi๐ ๐ ๐ kila mtu afanye anachoona kwake ni Bora.Mkuu maskini ndio wanaotusumbua humu na hii mada inayopinga EMs
Wasomi wetu hawana aibu wapo wanaopeleka vyeti bar ili kulingishia huku analala na mitungi ya gesi ndani...Hivi vitu mbona kama havina mantiki hivi ๐ ๐ ๐ tuleteeni mada za namna ya kujikwamua kiuchumi.
Hivi vingine achieni watoto wabishane.
Ulichoandika ni kweli kabisa, nimejaribu kusoma namna ya kujikwamua kiuchumi katika maandiko mbalimbali bado sijaelewa ๐ ๐๐คฃ๐คฃ Humu watakupa story zote , watajisifu wanavyoweza , watatangaza umahiri wao, walivyo na wake na waume wazuri , show za kitandani wanavyoziweza , Gari zote nzuri wameendesha tena, walivyosafiri duniani ! Wakimaliza watakunanga kwanini huna hela , kwanini unaendesha boda boda ๐คฃ
Ila kukupa deal la pesa au jinsi ya kufika huko nje hizo mada sahau kabisa
Halafu naona kama kuna watu sijui ni ulimbukeni ๐ ๐ ๐Wasomi wetu hawana aibu wapo wanaopeleka vyeti bar ili kulingishia huku analala na mitungi ya gesi ndani...
Mzala unatujua Watanzania vizuri ngoja niishie hapa hapa usije ukaniweka kwenye hilo kundi la Wasizwa..๐คฃ๐คฃ Humu watakupa story zote , watajisifu wanavyoweza , watatangaza umahiri wao, walivyo na wake na waume wazuri , show za kitandani wanavyoziweza , Gari zote nzuri wameendesha tena, walivyosafiri duniani ! Wakimaliza watakunanga kwanini huna hela , kwanini unaendesha boda boda ๐คฃ
Ila kukupa deal la pesa au jinsi ya kufika huko nje hizo mada sahau kabisa
Inategemea na aina ya mshahara Boss.Daaaah mshahara mpk tarehe 30/31.
MUNGU bariki KAZI ya mikono yangu.
KAZI ni kipimo cha UTU