Nani kakwambia wanatumia mbao?Inategemea na aina ya ubao wanaotumia mkuu. Ila kweli ni heri kujenga concrete na finishing ya mlango wa mbao, marble au tiles tu, tena ukiifanya vizuri inapendeza tu.
Ila mbao ina ladha yake tofauti, tatizo gharama.
Sibishani mkuu, you get what you choose. Kama umekubali kuuziwa marine board 1m² kwa 800k ni ujinga wako tu ila unachagua mbao unayotaka kutengenezea kitchen cabinets. Tizama ubao quality huo, ukitaka cheap you get it.Nani kakwambia wanatumia mbao?
Furniture siku hizi ni Marineboard au Plywood, we waletewa kitu kishapigwa msasa na kupakwa vanish.
Pamoja na hayo Marine Board ni nzuri mara 100 ya mbao, kwanza hazivimbi kutokana na maji
Najengea tofali.juu marble mchezo umeisha. Sq mita 1 laki 8Sibishani mkuu, you get what you choose. Kama umekubali kuuziwa marine board 1m² kwa 800k ni ujinga wako tu ila unachagua mbao unayotaka kutengenezea kitchen cabinets. Tizama ubao quality huo, ukitaka cheap you get it.
Tena zitapendeza sana tu. Piga marble juu, fanya finishing ya tiles na milango ya mbao kwa gharama nafuu kabisa.Najengea tofali.juu marble mchezo umeisha. Sq mita 1 laki 8
Piga hesab jiko lako lina sqm 8.ina mana fundi anataka milion 6.4 hiii nawachekiView attachment 2737440