Hivi nyie mnaopost fenicha mnatuchukuliaje?

Hivi nyie mnaopost fenicha mnatuchukuliaje?

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Kila ukiingia instagram unauliza fenicha flani mfano. Ni hizi kitchen cabinet. Unawapigia wanakwambia meter laki nane na nusu wengine milioni.

Yan mdf hizi hizi za board elfu 80. Na hinges za elfu tano tano na boks moja la screw driver.unaniuzia meter moja 800,000 wengine mpaka 1000,000/= bora kujengea meza za zege unaweka frem imeisha hio.msiifikir hela zinaokotwa.
 
Inategemea na aina ya ubao wanaotumia mkuu. Ila kweli ni heri kujenga concrete na finishing ya mlango wa mbao, marble au tiles tu, tena ukiifanya vizuri inapendeza tu.

Ila mbao ina ladha yake tofauti, tatizo gharama.
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20230722-053856.png
    Screenshot_20230722-053856.png
    116.1 KB · Views: 33
Inategemea na aina ya ubao wanaotumia mkuu. Ila kweli ni heri kujenga concrete na finishing ya mlango wa mbao, marble au tiles tu, tena ukiifanya vizuri inapendeza tu.

Ila mbao ina ladha yake tofauti, tatizo gharama.
Nani kakwambia wanatumia mbao?

Furniture siku hizi ni Marineboard au Plywood, we waletewa kitu kishapigwa msasa na kupakwa vanish.

Pamoja na hayo Marine Board ni nzuri mara 100 ya mbao, kwanza hazivimbi kutokana na maji
 
Sibishani mkuu, you get what you choose. Kama umekubali kuuziwa marine board 1m² kwa 800k ni ujinga wako tu ila unachagua mbao unayotaka kutengenezea kitchen cabinets. Tizama ubao quality huo, ukitaka cheap you get it.
 
Attachments

  • FB_IMG_1693713631263.jpg
    FB_IMG_1693713631263.jpg
    58.7 KB · Views: 26
  • FB_IMG_1693713572926.jpg
    FB_IMG_1693713572926.jpg
    47.8 KB · Views: 16
Sibishani mkuu, you get what you choose. Kama umekubali kuuziwa marine board 1m² kwa 800k ni ujinga wako tu ila unachagua mbao unayotaka kutengenezea kitchen cabinets. Tizama ubao quality huo, ukitaka cheap you get it.
Najengea tofali.juu marble mchezo umeisha. Sq mita 1 laki 8
Piga hesab jiko lako lina sqm 8.ina mana fundi anataka milion 6.4 hiii nawacheki
Screenshot_20230902_110302_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom