julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Kila ukiingia instagram unauliza fenicha flani mfano. Ni hizi kitchen cabinet. Unawapigia wanakwambia meter laki nane na nusu wengine milioni.
Yan mdf hizi hizi za board elfu 80. Na hinges za elfu tano tano na boks moja la screw driver.unaniuzia meter moja 800,000 wengine mpaka 1000,000/= bora kujengea meza za zege unaweka frem imeisha hio.msiifikir hela zinaokotwa.