nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,512
Tatizo mkuu, hufahamu au huelewi maana ya Anasa na Starehe. Ww umewekeza katika anasa. Hata kupanda gari ni starehe mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo wewe?Kuangalia movies!
Umbea kwenye vijiwe vya ghahawa.Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Sijambo!!! Mi natumia club soda au soda waterJambo wewe?
Karibu [emoji485][emoji485][emoji485]
KaahSijambo!!! Mi natumia club soda au soda water
Duuh! Mia tano tu hutaki lipa ila buku mbili unaweza!!Kaah
Bili ya soda utalipa wewe mwenyewe [emoji3]
sema ibada ni kitu kisichoepukikaStarehe yangu kubwa ni ibada