Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenifurahisha kweli hakuna statehe zaidi ya hiyo yaliyobaki yote ni kujilisha upepo.kuokoka, yaani ni starehe tosha
Kuoa?Umeoa mara ngapi.starehe zang;kuoa,kusafir,kusoma vitabu,kutazama movie,kufanya kaz pamoja na kulala.
hata mmoja bado bt napenda kuoaKuoa?Umeoa mara ngapi.
So hio ni starehe?hata mmoja bado bt napenda kuoa
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
tumeruhusiwa kuoa had wanne.kwang n stareheSo hio ni starehe?
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1]
My king my king my king[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hiyo hela utakayo itumia hapo bora utafute kreti ya safari ndogo...ukalipie chumba hotel ulale na mtt mzuriKuogelea, kusurf, kupumzika ufukweni, kuchek movie, outing popote, and whatever... Music, nini na nini
Yao majunguBinafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.