Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

Haloperidol naogopa jina lako kwa ajili ni dawa ya ugonjwa wa kule mirembe hivyo naogopa kuchat nawe [emoji23][emoji23]
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.

!
!
Nilikuwa nauliza maswali kama hayo kipindi nakunywa pombe. Kimsingi kutokunywa ni mateso makubwa Sana, maumivu ya hali ya juu. Kuna hasara nyingi sana, ukiniquote naweza kukutajia zinazonigusa personally. Na ni vile tu nimeweka nadhiri ya kutimiza jambo fulani, nikilitimiza narudi kama kawa. Nimekumbuka sana zile hisia za kuwa bwiii daaaah.
 
Hahahaha.... Wacha maneno..

Smart911 and mahondaw don't drink, don't smoke.. they.... alot...
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1]

My king my king my king[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1]

My king my king my king[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Your neck, your lips, your.... just like that...
 
Kunya ni bonge ya starehe. Tena ufanye toa kinyesi laini tena kwene choo cha shimo
 
Kuogelea, kusurf, kupumzika ufukweni, kuchek movie, outing popote, and whatever... Music, nini na nini
Hiyo hela utakayo itumia hapo bora utafute kreti ya safari ndogo...ukalipie chumba hotel ulale na mtt mzuri
 
Back
Top Bottom