Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi kuwa mnywaji na sio mleviBinafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Starehe yetu ni mnapokuwa mnapiga maji sisi tuko na wake zenu tunafanya yetu!Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
BibliaBinafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Uache starehe zote ni bora ukwufe tuBinafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
mmeaBinafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkuuu yaani kutumia mavitu yenye athar katika mwili wako ndio starehe ? Hizo sio starehe ujichosha tuu afadhal uachane nayo tuu, mkuu njoo tunywe juice ya mapapai bana ni nzuri kwa wiki natumia mara tatu huwa najisikia muruaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.