Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

Mimi sinywi pombe wala kuvuta sigara lakini **** utanisamehe.... naipenda kuliko msosi
 
Hujitambui mleta mada ,kwaiyo we unaona iyo ndo starehe ya mwisho ivi unajuwa hata kuimba pambio au nyimbo ya kumsifu mungu ni starehe kubwa isiyo kifan ,kwaiyo unaona kilevi ndo mwisho WA yote kumjua mungu japo kwa kiss kidgo ni chanzo cha hekima
 
Labda nikusaidie starehe yetu ni kujaribu kufanya yampendezayo mungu mana kutenda yaliyo mapenz ya mungu kuna raha yake bwana kuliko kuwa mtumwa WA shetan
 
Movies, series, novel, mpira, swimming,
Zipo kibao la muhimu ni kujenga hobby na kati ya hivo vitu.
Mfano yafuta series nzuri uanze kuifuatilia. . . utajikuta unasahau hata kifanya vitu vingine. . .

Ukifanikiwa niambie. Ili niweze kuepuka hizo mbinu. Nsije na mi nkaangukia huko nikaacha bia
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkuu uko vizur
 
Binafsi sina starehe zaidi ya kugegeda,kiukweli napenda sana hili tendo.bora hata nisile ila nigegede mtoto wa mtu..kugegeda ni raha jamani acheni.unahisi upo paradiso.kwa wiki nagegeda mala nne au tano.uongo mbaya sijawai kukaa wiki mbili na siwezi bila kugegeda,I love pwuuuusy
Aisee
 
Nilipo kuwa advance ilikuwa haipiti siku bila kucheza mpira nilikuwa nikikaa darasani natamani jioni ifike nikacheze mpira,kuna kipinfi nilikuwa naota kabisa mambo yanayohusu mpira.sa hv nimekuws ni mademu,pombe,movie na kutazama mpira tu
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.

Kwani starehe maana yake nini?
 
Binafsi sina starehe zaidi ya kugegeda,kiukweli napenda sana hili tendo.bora hata nisile ila nigegede mtoto wa mtu..kugegeda ni raha jamani acheni.unahisi upo paradiso.kwa wiki nagegeda mala nne au tano.uongo mbaya sijawai kukaa wiki mbili na siwezi bila kugegeda,I love pwuuuusy
Kuliko niache pombe nije kucheza huu mchezo mchafu

Basi weita niongeze nyingine make naona kuna watu wamefungwa kuliko mimi
 
Pombe haina faida yeyote katika maisha Ndugu,

Kabidh maisha yako kwa Mungu na utaona maisha mazur kwako, nilikua mnywaj kama wewe,hakuna zaid ya kua mtumwa wa pombe kwa miaka 6, Nimeacha pombe mwaka Jana dec, sasa Naona maisha mapya kwangu, sdhoofik mwil tena, siamki na hangover tena, Mshahara naonaa vizur sasa na unanitosha vizur sasa nafanya maendeleo vizur,napata muda mzur wa kufurah na familia na Ndugu,


Binafsi nimehamishia starehe kwenye Baltika,Fresh Juice,ice creams, na hata ikitokea nimeenda outing sina tamaa na pombe nitaagza Baltika zangu tuu na Maji, Natuma mda wa ziiiada kuchat na video games
Utakuta unaongea haya yooote kumbe ka balimi kadogo kapo pembeni yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mbona unaandika kama umepiga fundo moja
 
Back
Top Bottom