Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Tumia Maji, Fresh juice, maziwa, hakika utafurahia maisha, utapata hata mda mzuri wa kukaa na familia
 
mkuu mwenyew siku iz nashangaa starehe yangu kubwa ni
1.kugongana
2.kusoma vitabu
pombe sinywag ila ganja nlishaachaga
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki ku

NDUGU YANGU UKIFANIKIWA KUACHA POMBE SIMAMA KATIKA KUFANYA IBADA, JUA KARIBU UTUTOKE.
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
starehe yetu ****
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Pombe haina faida yeyote katika maisha Ndugu,

Kabidh maisha yako kwa Mungu na utaona maisha mazur kwako, nilikua mnywaj kama wewe,hakuna zaid ya kua mtumwa wa pombe kwa miaka 6, Nimeacha pombe mwaka Jana dec, sasa Naona maisha mapya kwangu, sdhoofik mwil tena, siamki na hangover tena, Mshahara naonaa vizur sasa na unanitosha vizur sasa nafanya maendeleo vizur,napata muda mzur wa kufurah na familia na Ndugu,

Binafsi nimehamishia starehe kwenye Baltika,Fresh Juice,ice creams, na hata ikitokea nimeenda outing sina tamaa na pombe nitaagza Baltika zangu tuu na Maji, Natuma mda wa ziiiada kuchat na video games
Tumia Maji, Fresh juice, maziwa, hakika utafurahia maisha, utapata hata mda mzuri wa kukaa na familia

Kuogelea, kusurf, kupumzika ufukweni, kuchek movie, outing popote, and whatever... Music, nini na nini

Back
Top Bottom