Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

Starehe zipo nyingi, ambazo hazi husishi kilevi, mfano: Ukiwa mpenda michezo, ukiamua kucheza mpira wa miguu kwa ajili ya mzoezi ya mwili, pombe utaitupa kule baada ya miezi miwili tu utaona mafaa utakayoyapata kwenye mwili wako. Ama chagua kufanya mazoezi yeyote ya mwili huto fikilia pombe ama sigara tena, maana utaona, pombe utaona uninakupoteza nguvu za mwili.
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Starehe yetu ni kutokunywa kilevi chochote,kutofanya uzinzi na uovu mwingine wowote,tumepumzishwa hatutumikishwi tena na kawaida za dunia hii.Tuko huru! We are not slaves of the Devil.Na wewe karibu mkuu katika starehe hii ya ajabu sana na ya kweli.Starehe zingine zote ni fake, called wrongly starehe by the Devil.
 
Binafsi sina starehe zaidi ya kugegeda,kiukweli napenda sana hili tendo.bora hata nisile ila nigegede mtoto wa mtu..kugegeda ni raha jamani acheni.unahisi upo paradiso.kwa wiki nagegeda mala nne au tano.uongo mbaya sijawai kukaa wiki mbili na siwezi bila kugegeda,I love pwuuuusy
 
Starehe yetu ni kichwa kisafi kisichouma kwa hangovers, marafiki waziri na wenye heshima na pesa kutokosekana mifukoni mwetu na kutokuwa na madeni.

Na tunastarehe na wanawake wazionuka midomo kwa pombe, wakienda kukojoa wanakosha na wasionuka mijasho ya vilabuni
 
e9c473f0ba64b34970da9eb5e4fa4edc.jpg
 
Hakuna muacha hizo starehe labda muongeza starehe yupo
 
Kuogelea, kusurf, kupumzika ufukweni, kuchek movie, outing popote, and whatever... Music, nini na nini
 
Back
Top Bottom