Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Hapa sawa MkuuJitahidi kuwa mnywaji na sio mlevi
Wengine tukienda bar tunapendaga kuwaona watu wanavyoyumbayumba hafu moyoni unajisema na kuweka nadhiri, hii kitu isinitokee.
Jipangie pombe ya nishai, mfano bia moja au mbili na maji ya makubwa, hapo utainjoi.
Kingine kama una mke, mfanye starehe yako namba moja, yani jitahidi asiwe adui yako, japo hapa kuna ka ugumu kidogo. Ukifanikiwa hili utapamisi home na utakua unaimisi familia,
Pia yaweke mazingira ya nyumbani well equiped, mfano kama unapenda mziki jitahidi nyumbani unaomziki wa maana kiasi kwamba hata ukiwa bar hakuna mazingira yoyote yakuweza kukushawishi kukaa pale
Acha kulewa kwa sababu yoyote ile, yaani kama sehemu ya kutatua matatizo tena siku ukiwa na matatizo usinywe kabisaa,
Kunywa kama burydani na kwa kiwango maalumu.
Jitahidi kuyasoma yale maandishi ya kwenye vilevi
Mfano, kunywa pombe kupitiliza ni hatari kwa afya yako, au uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako
Epuka kuwa na rafiki/mpenzi ambaye ahadi zenu mnakutana baa
Usimuhusishe masiha kwenye vitu vya kijinga,Starehe Yesu kaondoa kiu zote za pombe ,nk ni maamuzi tu na kuipata neema
side effects kibao sishauri ila ikibid tumia...Chaputa
true that brother ila chochote ukizisha lazima kitakuletea madhara, we learn from others mistake..Starehe ni kula ngada peke yake
FIFA holics.......Daaaah mi napenda sana kucheza games.hasa ya mpira.