Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

Tatizo mkuu, hufahamu au huelewi maana ya Anasa na Starehe. Ww umewekeza katika anasa. Hata kupanda gari ni starehe mkuu
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Umbea kwenye vijiwe vya ghahawa.
 
Juzi nilikua bar na rafiki angu fulani. Meza ya jiran wamekaa kina mama wa kichaga wanene sana juu nyuma pasi. Wakaja wakaka wawl tunapiga via weeeee, kati ya hao kaka wawl mmoja anakunywa tungi mwingine bze na laptop. Hao mama niwa makamo wana itafta 60 each. Hao mama wa kichaga zilivyo wakolea wakaanza Yesuuuuu, hawa wasiokunywa beer ulevi wao upo chini. Umri na maneno waliyo kuwa wakiongea haviendani kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…