Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lipo. Tatizo mnaweweseka sana. Niyonzima hajatangazwa Simba wala Yanga mnaanza kejeli kwa viongozi. Simba haina tatizo la viungo hata kama wataondoka wengine wataingia. Falsafa ya Simba ni kumiliki mpira. Kiungo ndiyo nguzo ya timu. Hata Kazimoto anawatoa jashoSasa si mtuache kwani Kuna tatizoooo
mna shida sana ni lini ukisikia yanga wametangaza kumsainisha?kwani niyonzima kasaini Yanga??
Tatizo lipo. Tatizo mnaweweseka sana. Niyonzima hajatangazwa Simba wala Yanga mnaanza kejeli kwa viongozi. Simba haina tatizo la viungo hata kama wataondoka wengine wataingia. Falsafa ya Simba ni kumiliki mpira. Kiungo ndiyo nguzo ya timu. Hata Kazimoto anawatoa jasho
Mtani mbona umepaniki sana,
Huyo Niyonzima ndo yule mlichoma jezi yake? (Sijui nini kiliwapa panic namna ile)
Hivi unaweza kunitajia huyo kiongozi aliyesema simba imemsajili niyonzima?
Mbona Vyura Fc mnaweweseka namna hii, angalieni tu stress zenu zisisababishe mjitoe uhai. Nataka mshuhudie mnyama akinyanyua vikombe, wakati nyie mkiogelea pale kwenye oasis.
Huu ndio umbumbu wenyewe! Kufungwa ni matokeo ya kawaida ya mpira wa miguu. Mbona huko mbele timu zinafungana magoli kibao na maisha yanasonga kama kawaida. Arsenal alishawahi kula goli 8 kutoka kwa Man U na imeshakuwa hadithi. Tangu muifunge Yanga goli 5 wenzenu tunakimbilia ubingwa wa tano nyie mmebakia na stori za goli 5! Na mimi nashawishika kuamini mashabiki wa simba ni mambumbu haswa.watu mnafungwa wakati simba iko pungufu halafu bado mnapiga kelele subirini zile tano zijirudie mfunge midomo yenu kabisa
Mtani ndio maana nimekwambia uache kupanic, hebu rudi kwenye coment yangu isome vizuri then linganisha na hili jibu ulilotoa kama vinaendana.Mambumbumbu mna shida sana ni lini ukisikia yanga wametangaza kumsainisha?
Ndala umeshashiba sasa umeamua kunya kwenye sinia hilo hilo, hovyo kabisa!!Yaani kuitwa mpnzi au shabiki wa simba lazima uwe na ufahamu mdogo..ndiyo lazima uamini kila unachoambiwa hata kama hakiwezekani.
Niliwaambia Niyonzima hawezi kuichezea simba hata iweje kwa sababu simba haina ubavu wa kuchukua mchezaji wa yanga ambaye bado anahitajika na yanga lkn nyie viumbe hamuelewi!
Najiuliza nani amewaloga? Kwann hamsumbua vichwa vyenu kufikiri?
Kikwete alisema za kuambiwa........
Lkn nyie za kuambiwa mnachukua hizozizo duu poleni sana..
Kaaeni mkijua Niyonzima hajasaini msimbazi na hata kaa asaini , viongozi wenu wakiwaambia amesaini wanawachezea akili zenu tu kwasababu wanajua nyie ni mambumbumbu!
Ndiyo nyie ni MAMBUMBUMBU maana wamewaibia pesa zenu bado mnapanga kuwatafutia wakili ...kweli kuwa simba ni lazima uwe mbumbumbu.
Hii ni laana ya Lage nendeni mkamuangukie
Wewe unakumbuka ulivyopotea airport? Hadi unaomba nauli kwa mpinzani wako yanga wajinga sanaHivi bado mnakumbuka ya Libolo?
Halafu hilo jina sasa na kitu mlichofanywa inauma zaidi..bila shaka ikitajwa liboro mnaziba nyuma kwa mikono[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwehu kweli wewe kubebwa ndo ushindi subiri huu msimu uanze na wahaya wenzenu waliopo selo wamewabeba nanyi mnajiona washindiHuu ndio umbumbu wenyewe! Kufungwa ni matokeo ya kawaida ya mpira wa miguu. Mbona huko mbele timu zinafungana magoli kibao na maisha yanasonga kama kawaida. Arsenal alishawahi kula goli 8 kutoka kwa Man U na imeshakuwa hadithi. Tangu muifunge Yanga goli 5 wenzenu tunakimbilia ubingwa wa tano nyie mmebakia na stori za goli 5! Na mimi nashawishika kuamini mashabiki wa simba ni mambumbu haswa.
Baada ya cku kadhaa tegemea kilio kikubwa pale msimbazi,ni pigo kubwa tumewaandalia zaidi ya lile la ibrahim ajibuMkodisho Fc upo
Yanga bingwa tena msimu wa 2017/18Mpaka mje kujitambua yanga tupo mbali
Hujitambui we kaha... a nyie vyura mbona mmetangaza kumsajili Ajibu mkataba upo wapi pambana na hali yenu wauza unga nyieHivi bado mnakumbuka ya Libolo?
Halafu hilo jina sasa na kitu mlichofanywa inauma zaidi..bila shaka ikitajwa liboro mnaziba nyuma kwa mikono[emoji23] [emoji23] [emoji23]