chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Tunaomba utueleze haliyekwambia SIMBA Taifa kubwa mabigwa wa kihistoria wanamtaka huyo chura nani? au ndio umetoka kuogelea kwenye swimming pool lenu huku mifugo yenu ikikuangalia
kama umeshindwa kazi ya kuudumia wale mbuzi pale bwawan, sema tukupe kazi kukuna nazi msimbazi
kama umeshindwa kazi ya kuudumia wale mbuzi pale bwawan, sema tukupe kazi kukuna nazi msimbazi