Hivi nyie simba nani amewaloga?

Huyo dada unayemuamini naye mawenge tu. Taarifa ya mawazo ya kufikirika huwafurahisha wenye mitazamo inayofanana. Unadhani Niyonzima kasaini Yanga!
 
Mtani mbona umepaniki sana,
Huyo Niyonzima ndo yule mlichoma jezi yake? (Sijui nini kiliwapa panic namna ile)
Hivi unaweza kunitajia huyo kiongozi aliyesema simba imemsajili niyonzima?
Mbona Vyura Fc mnaweweseka namna hii, angalieni tu stress zenu zisisababishe mjitoe uhai. Nataka mshuhudie mnyama akinyanyua vikombe, wakati nyie mkiogelea pale kwenye oasis.
 
Sasa si mtuache kwani Kuna tatizoooo
Tatizo lipo. Tatizo mnaweweseka sana. Niyonzima hajatangazwa Simba wala Yanga mnaanza kejeli kwa viongozi. Simba haina tatizo la viungo hata kama wataondoka wengine wataingia. Falsafa ya Simba ni kumiliki mpira. Kiungo ndiyo nguzo ya timu. Hata Kazimoto anawatoa jasho
 
Mlipanga mpaka kikosi cha maangamizi..Kichuya benchi aah aah
 
kwani niyonzima kasaini Yanga??
mna shida sana ni lini ukisikia yanga wametangaza kumsainisha?

 
Hivi zile pesa zetu za okwi ziko wapi?!!
 
Hivi bado mnakumbuka ya Libolo?
Halafu hilo jina sasa na kitu mlichofanywa inauma zaidi..bila shaka ikitajwa liboro mnaziba nyuma kwa mikono[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
watu mnafungwa wakati simba iko pungufu halafu bado mnapiga kelele subirini zile tano zijirudie mfunge midomo yenu kabisa
Huu ndio umbumbu wenyewe! Kufungwa ni matokeo ya kawaida ya mpira wa miguu. Mbona huko mbele timu zinafungana magoli kibao na maisha yanasonga kama kawaida. Arsenal alishawahi kula goli 8 kutoka kwa Man U na imeshakuwa hadithi. Tangu muifunge Yanga goli 5 wenzenu tunakimbilia ubingwa wa tano nyie mmebakia na stori za goli 5! Na mimi nashawishika kuamini mashabiki wa simba ni mambumbu haswa.
 
Mambumbumbu mna shida sana ni lini ukisikia yanga wametangaza kumsainisha?
Mtani ndio maana nimekwambia uache kupanic, hebu rudi kwenye coment yangu isome vizuri then linganisha na hili jibu ulilotoa kama vinaendana.
 
Ndala umeshashiba sasa umeamua kunya kwenye sinia hilo hilo, hovyo kabisa!!
 
Hivi bado mnakumbuka ya Libolo?
Halafu hilo jina sasa na kitu mlichofanywa inauma zaidi..bila shaka ikitajwa liboro mnaziba nyuma kwa mikono[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unakumbuka ulivyopotea airport? Hadi unaomba nauli kwa mpinzani wako yanga wajinga sana
 
Mwehu kweli wewe kubebwa ndo ushindi subiri huu msimu uanze na wahaya wenzenu waliopo selo wamewabeba nanyi mnajiona washindi
Mapimbi sana yanga wote

Sasa hivi hakuna cha magoli mengi tuone kama mtabeba
Tumewapiga nje ndani tena watu 9 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hivi bado mnakumbuka ya Libolo?
Halafu hilo jina sasa na kitu mlichofanywa inauma zaidi..bila shaka ikitajwa liboro mnaziba nyuma kwa mikono[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hujitambui we kaha... a nyie vyura mbona mmetangaza kumsajili Ajibu mkataba upo wapi pambana na hali yenu wauza unga nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…