chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Hujielewi wewe au umeanza kushabikia mpira awamu ya tano? Yanga imechukua ubingwa kabla hata hujazaliwa! Hao wahaya wako walikuwepo? Mmekuwa watu wa kulialia kila mwaka. Ni mara ngapi simba inabebwa? Fainali ya FA na mbao si mlibebwa au ulikuwa kipofu? kama mashabiki wenyewe wa simba ni wa aina yako kweli nyie ni mambumbu! Kula omo utoe povu zaidiMwehu kweli wewe kubebwa ndo ushindi subiri huu msimu uanze na wahaya wenzenu waliopo selo wamewabeba nanyi mnajiona washindi
Mapimbi sana yanga wote
Sasa hivi hakuna cha magoli mengi tuone kama mtabeba
Tumewapiga nje ndani tena watu 9 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mbumbu kweli wewe umesahau penalty mliopewa na majimaji bahati yako mhay a kakubebaHujielewi wewe au umeanza kushabikia mpira awamu ya tano? Yanga imechukua ubingwa kabla hata hujazaliwa! Hao wahaya wako walikuwepo? Mmekuwa watu wa kulialia kila mwaka. Ni mara ngapi simba inabebwa? Fainali ya FA na mbao si mlibebwa au ulikuwa kipofu? kama mashabiki wenyewe wa simba ni wa aina yako kweli nyie ni mambumbu! Kula omo utoe povu zaidi
Daa we jamaa hujielewi kabisa, marefarii duniani kote wanafanya makosa. Hata ligi za walioendelea zaidi yetu marefa wanafanya makosa ya kipuuzi kama la huyo refa wa mechi ya Majimaji na Yanga! Nakukumbusha tena Yanga imekuwa bingwa kabla ya mwaka 2012, wakati huo hao wahaya walikuwa TFF? Sorry, umeanza kufuatilia mpira wa miguu lini?Mbumbu kweli wewe umesahau penalty mliopewa na majimaji bahati yako mhay a kakubeba
Na toka aingie 2012 ndo umeanza kutoa pua lako
Mpira wenu figisu figisu
Mbumbu kweli wewe umesahau penalty mliopewa na majimaji bahati yako mhay a kakubeba
Na toka aingie 2012 ndo umeanza kutoa pua lako
Mpira wenu figisu figisu
Mkuu hapo umemaliza ila wenzenu angalau huwa wanaambulia fulana na kofiaSina maana ya kumkwaza mtu, ila sis mashabiki wa simba wakati mwingine inakuwaga vigumu sana kututofautisha na wakereketwa wa ccm.