GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa nimemuuza 'Kisela' klabu moja akaanze kucheza Timu yao ya Vijana ila najua kwa Kipaji chake Msimu ujao lazima tu Simba na Yanga watamhitaji na hapo ndipo GENTAMYCINE naenda kupiga Hela ya maana.
Eti Waziri Junior hovyo kabisa nyie Viongozi wa Simba SC. Nikijifua Mwezi tu hawezi Kuchukua namba mbele yangu.
Eti Waziri Junior hovyo kabisa nyie Viongozi wa Simba SC. Nikijifua Mwezi tu hawezi Kuchukua namba mbele yangu.